The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Acha upuuzi,maji ya yalishakuwepo Shinyanga na Kahama so yalifikisha Tabora tuu ,sio kazi ya kujivunia miaka 5..Kama unamuongelea Magufuli, alifikisha maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Mkoa wa Tabora na kazi ilikuwa inaendelea ilioanzishwa na Mkapa ya kusambaza maji ya Ziwa Viktoria kwenye Mikoa ya karibu, wakazi wa Tabora (baadhi atleast) wana maji kutoka Ziwa Victoria!
Unachoongea ni kama hukusoma geography au huna akili za kawaida.Ndicho ninachomuuliza, ipi bora, maji yatumike au yaachwe yamwagikie baharini?
Egypt wanabwawa kubwa kule mwishoni kabisa linaitwa Aswan Dam, wao maji hayamwagikii baharini kabla hayatumika kufua umeme na kilimo na majumbani.Unachoongea ni kama hukusoma geography au huna akili za kawaida.
Misri walilalamila ethiopia walipoanza kujenga bwawa wakati maji ya mto nile yanaishia baharini, hata Tanzania kuvuta maji kutoka victoria mpaka dodoma baadhi ya nchi huwa znalalamika kuhusu mpango huo zinazopitiwa na mto nile.
Sorry mkuu lakin wewe ni kiazi.Egypt wanabwawa kubwa kule mwishoni kabisa linaitwa Aswan Dam, wao maji hayamwagikii baharini kabla hayatumika kufua umeme na kilimo na majumbani.
Mimi naongelea Ruvu ambako maji yanamwagikia baharini bila kutumika, opi bora? Yatumike au yaachwe yapotee baharini?
Oyaaa qmmk wallah[emoji1787][emoji1787]Kati ya Kuyachepusha na kuyaacha yamwagikie baharini, ipi bora?
Tena ile ya 90mins SIO 45min!,mkuu hawa ni public figures, wataje hapa kwa majina, kama sio kweli watakanusha, we need fighters nchi hii ambao wata press ile RESET BUTTON, ili nchi ianze upya kwa masilahi ya watanzania wengi, Pilot wetu anatuhitaji nao ili tumsaidie sio kuwa yes yes na uoga wa kipumbavu, President Samia,yes ni ccm member ila yupo tofauti linapokuja swala la utendaji serikali, mfano umetoa tamko ni marufuku kwa police to arrest a suspect bila kufanya uchunguzi kwanza, hili sasa anahitaji our pressure to cops kutekeleza hiloUnauliza Adhabu Kali MP 1 Makongo?
Wanachepusha kiasi gani wewe? Unafikiri wakiacha ndiyo yatatosha Dar? Maji hayo yanatosha watu kulima, kufuga samaki, kunywa na kusaza, shida ni kuwa kwa ujinga, mengi yameachwa yanazama tu baharini. Kusingizia wachepushaji ni kutafuta tu visababu.Sorry mkuu lakin wewe ni kiazi.
Maji ya ruvu yanachepushwa kabla hajafika kwenye mitambo ya kusambazia maji according to mtoa mada ndio maana yanasababisha upungufu.
Wewe ni kiazi. Misri wana Bwawa la Nasser ambalo linahifadhi maji kwa mwaka mzima. Hata flow ya Nile ikipungua, wana uhakika wa maji. Sasa Ruvu kuna bwawa la aina hiyo? Ukitegemea tu mtiririko wa mto lazima hali kama hii itokee. Wasisingizie wakulima nk. Tutatue tatizo lililopo.Unaongea pumba.. hata kama yanaishia baharini kazi yake kubwa nikusambazwa kwa matumizi ya binadamu.. ndo maana Egypt wapo tayari kuingia vitani na yeyote atakaye chepusha maji ya mto Nile..
Sasa jiulize maji ya mto Nile yanaishia wapi..??
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ni aibu na inashangaza mji mkubwa wa watu 7m hauna reservoir ya mji?Mchina wa mboga mboga alikuwa anasingiziwa tuu..
Mwisho kama maji ya mtu huo hayaruhusiwi kufanyia shughuli za kilimo ielwzwe tuu watu wajue ila vinginevyo sioni kosa lao maana hayi maji yanaishia baharini..
Serikali inafanya uzembe tuu kwa nini wao wasichimbe mabwawa yao makubwa ya kuhifadhi maji ya matumizi badala yake watafute kisingizio kwa wawekezaji?
unahujumiwa vp akiwa vyombo vya usalama vyote viko chini yakeMama anahujumiwa sana
uko sawa mkuu, ukisoma sifa zilizopelekea mji wa jerusalem kuwa na sifa, sifa moja wapo ni hii yakuvuna maji ya mvua, mji huu umezungukwa na mabwawa ya maji kila kona, wao kipindi kile waliita mabirika (rejea ktk tafsiri ya bibria sehem ya yerusalem) hivyo mvua zikinyesha wanavuna maji yote yanayotembea! Sie pamoja na ziwa tanganyika, kuwepo , nahalina ugomvi na inchi yyte km ziwa victoria bado tunawaza kujenga bomba la gass kabla ya maji 🤣🤣🤣Egypt wanabwawa kubwa kule mwishoni kabisa linaitwa Aswan Dam, wao maji hayamwagikii baharini kabla hayatumika kufua umeme na kilimo na majumbani.
Mimi naongelea Ruvu ambako maji yanamwagikia baharini bila kutumika, opi bora? Yatumike au yaachwe yapotee baharini?
Akili yako fupi kama nnyaHii nchi haijawahi kuwa na viongozi
Hata huyo tunayemuita baba wa taifa basi tu. Bora Marealle angekua rais wa kwanza kipindi kile, nchi ingekua mbali sana.
Huyo 'chuma' hahesabiki tena.Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?
Kwa nini kila mara watu wanasema mama anahujumiwa.? Inaamanisha mama hana mfumo wake huru wa kupata habari na kuchunguza taarifa anazoletewa na watu wake? Au mama aanze kulala na mafaili ??Tena kwa 100% na wale anaowaamini.