macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hawezi kuonyesha kwa sababu hana sababu ya kuonyesha. Ana hofu gani? Kama ni uchaguzi ana uhakika atatumia dola kufoji na wananchi watakaa kimya. Kama ni maisha mazuri basi anayo na ndugu zake wote wanaishi vizuri. Mpira uko kwa watanzania. Tungekuwa tunajitambua mara baada ya kutamka maneno ya kijinga kama hayo angezomewa kabisa na mkutano ungeishia hapo hapo. Tumezoea vya bure wakati wao ndiyo wamezoea vya bure tena wanaiba kama hawana akili? Kweli madaraka ni kilevi kibaya sana!Yeye alipaswa aonyeshe mfano hai badala ya maigizo
Bila wananchi kuamka ni bure.Ni muda muafaka sasa zenji walipe madeni ya bili ya tanesco kuliko kusubiri msamaha wa raisi.
#MaendeleoHayanaChama
Wanzazibar wenzake wanapata umeme na maji bure sisi huku kila kitu tunalipa
Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na mingine inaendelea.
Awali mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo alitoa kilio cha wakazi wa Arusha kulalamikia bili kubwa za maji na kumuomba Rais Samia aiagize wizara ya maji iwapelekee mita kama za LUKU na mtu akitaka maji ya 10,000 anaweka anatumia mpaka iishe.
Arusha
Huyu mwanamke atarudisha elimu kulipia sasa hivi. Huyu ni rais wa wafanya biashara. Kwanza ni tamaa zao tu mbona tayari hakuna bure kuondoa elimu. Hospitali tunalipa, maji tunalipa umeme tunalipa tunalipa, chakula tunalipa, mavazi tunanunua sasa anatusimanga nini wakari serikali yake haitununulii chakula.. Kila kitu tunalipa.Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na mingine inaendelea.
Awali mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo alitoa kilio cha wakazi wa Arusha kulalamikia bili kubwa za maji na kumuomba Rais Samia aiagize wizara ya maji iwapelekee mita kama za LUKU na mtu akitaka maji ya 10,000 anaweka anatumia mpaka iishe.
Arusha
Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na mingine inaendelea.
Awali mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo alitoa kilio cha wakazi wa Arusha kulalamikia bili kubwa za maji na kumuomba Rais Samia aiagize wizara ya maji iwapelekee mita kama za LUKU na mtu akitaka maji ya 10,000 anaweka anatumia mpaka iishe.
Arusha
Labda anaizungumzia Zanzibar maana kule vingi ni Bure[emoji3][emoji3]Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure
Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure?
Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini uko!!
Rais anatukosea heshima watanzania hakuna mtanzania anayepata Huduma yeyote bure isipokuwa yeye mwenyewe na mawaziri wake na takataka zingine serikalini.
Maji, Umeme,kodi, na kila kitu watanzania tunalipia ndio maana mnapata pesa za bure kununua ma v8
Hakuna mtanzania wa kawaida anayepewa chochote bure leteni umeme na maji ya uhakika acheni polojo. Tuna serikali ya kipumbavu Sana itoshe kusema!!.View attachment 2425417