Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

Umgetuweke segment ya hotuba yake ilituijadili.
 
Nakubaliana na wewe 100 %. Rais, Mawaziri na Wabunge ndiyo wanapata vya bure na wamezoea. Sasa wamenogewa wanajisahau. Yule Mbunge Slaa alipokuwa wazi kuwa hawalipwi kodi Ndugai akaamua kumnyamazisha.

Maza atuambie ni nini anacholipia ambacho Watanzania hawalipwi.
 
Dharau dhidi ya Raia huletwa na viongozi ambao hawakuchaguliwa
 
Hivi ni hekima ipi iliyotumika kufanya hawa viongozi wa kiserikali waishi maisha ya kifahari kwa gharama za kodi za wananchi? Maana pamoja na kugharamia maisha yao ya kifahari ila bado wanafanya ufisadi wanazidi kutunyonya sie.
 
Bure? Acha nifikiri kitu gani chatolewa bure na serikali...
 
Sawa tumezoea vya bure.
Viongozi wao wamezoea vya kuiba(ufisadi).
 
Km kiongozi anasema maneno km hayo wakati tunakatwa kodi na tozo juu bado huduma za afya ni mbovu.Viongozi wengine wako busy kusifu na kuabudu.Nchi imekosa mwelekeo sababu nj ya viongozi walio shiba wanapigiana simu ohoo hawa pimbi tatizo lao wamezoea vya bure na kesho nawachana [emoji56][emoji56].acha tu niishie hapa
 
Kauli ya Rais Samia ni ya ukweli kabisa. Serikali imetoa ruzuku kwa vitu vingi mno na watanzania wamechukulia kama haki yao. Nadhani ni wakati sasa wa kuondoa ruzuku ili kuwakomesha kabisa hawa wanaodharau viongozi
 
Ruzuku inatokana na kodi ya Watanzania
Kauli ya Rais Samia ni ya ukweli kabisa. Serikali imetoa ruzuku kwa vitu vingi mno na watanzania wamechukulia kama haki yao. Nadhani ni wakati sasa wa kuondoa ruzuku ili kuwakomesha kabisa hawa wanaodharau viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…