Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.
Uongozi ni ajira msamiati wa kujiuzuru ni ulaya sio afrika.
 
Itakuwa ni Mulamula, mama alitaka kupanda gari pamoja na Biden yeye akaona ampandishe bus na kina Ruto
 
Comments hazifutiki, hutaambulia hata ubalozi wa nyumba kumi, endelea kumuogesha nguruwe!!!!
 


 
Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.
Je Mulamula alikataa upuuzi wa collective responsibility
 
03 October 2022

HALI YA USALAMA NCHINI, MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA 5 WAJITOKEZA ZOOM KUELEZEA HALI ILIVYO

Makamanda wa mikoa wa polisi wajitokeza kuelezea hali ya usalama ikiwemo uzingatiaji wa PGO na haki za binadamu katika utendaji wao wa kazi na kujibu lawama zinazoelekezwa kwa jeshi la Polisi


  • RPC mkoa wa Mbeya , ACP Benjamin Kuzaga wanaendelea na operesheni endelevu isiyokoma dhidi ya makosa yote ya uhalifu ikiwemo makosa ya usalama barabarani yakufuatia maagizo ya IGP
  • RPC wa mkoa wa DSM, ACP Jumanne Murilo
  • Na makamanda wa mikoa mingine 3

Source : Gilly Bonny TV
 
Kwendraaaaaaa! Mhe Rais lazima apewe heshima Acha porojo
 
Huyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.

Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Sasa hii ina uhusiano gani na swala la huyo waziri aliyetumbuliwa!!?
 
Tatizo baadhi ya viongozi wetu wana tabia ya unafiki na uzandiki sana, watu ni wanafiki sana.
 
Tunaonyeshwa changamoto za Muungano Ili tuharakishe mchakato wa Katiba MPYA haraka Ili kutatua!!

KWA Katiba iliopo hii ni zamu ya visiwani kula KWA urefu wa kamba zao!walimiss Sana kiti na wamekipata KWA mtelezo kabisaa!tuwaache wale ni zamu Yao!!


Mzee Warioba alionya hii kitu kuwa ipo SIKU watashika wasiotarajiwa na watatugawa ni KWELI Sasa tumegawanywa makundi mawili ya chawa(waimba mapambio) na wasomi wenye uweledi waliokubali kuongozwa na uweledi wao!!

Sasa acha mapambano yaendelee!!
 
Ni kama vile ulikuwepo kwenye discussion na ukaona kuwa rais hakukubaliana na mawazo ya huyo waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…