Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.
Uongozi ni ajira msamiati wa kujiuzuru ni ulaya sio afrika.
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Itakuwa ni Mulamula, mama alitaka kupanda gari pamoja na Biden yeye akaona ampandishe bus na kina Ruto
 
FB_IMG_16604588760583873.jpg
 
Nasema hivi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndiye Rais Hadi 2030, watanzania tumeridhishwa na utendaji kazi wake uliotukuka na uliogusa maisha yetu watanzania kwa kutupatia matumaini mengi ya kuinuka kiuchumi, kazi yetu Ni Kuendelea kumuombea mh Rais wetu mpendwa ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
Comments hazifutiki, hutaambulia hata ubalozi wa nyumba kumi, endelea kumuogesha nguruwe!!!!
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?

Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.
Je Mulamula alikataa upuuzi wa collective responsibility
 
03 October 2022

HALI YA USALAMA NCHINI, MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA 5 WAJITOKEZA ZOOM KUELEZEA HALI ILIVYO

Makamanda wa mikoa wa polisi wajitokeza kuelezea hali ya usalama ikiwemo uzingatiaji wa PGO na haki za binadamu katika utendaji wao wa kazi na kujibu lawama zinazoelekezwa kwa jeshi la Polisi

  • RPC mkoa wa Mbeya , ACP Benjamin Kuzaga wanaendelea na operesheni endelevu isiyokoma dhidi ya makosa yote ya uhalifu ikiwemo makosa ya usalama barabarani yakufuatia maagizo ya IGP
  • RPC wa mkoa wa DSM, ACP Jumanne Murilo
  • Na makamanda wa mikoa mingine 3

Source : Gilly Bonny TV
 
Naona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.

Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.

Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, majeuri, na viburi.

Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape na kauli zao za hovyo kila wakati; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana serikalini lisipingwe, vyema atambue hata wajinga huwa wana maamuzi yao yasipoangaliwa mapema yatatuumiza.

Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Kwendraaaaaaa! Mhe Rais lazima apewe heshima Acha porojo
 
Huyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.

Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Sasa hii ina uhusiano gani na swala la huyo waziri aliyetumbuliwa!!?
 
Tatizo baadhi ya viongozi wetu wana tabia ya unafiki na uzandiki sana, watu ni wanafiki sana.
 
Tunaonyeshwa changamoto za Muungano Ili tuharakishe mchakato wa Katiba MPYA haraka Ili kutatua!!

KWA Katiba iliopo hii ni zamu ya visiwani kula KWA urefu wa kamba zao!walimiss Sana kiti na wamekipata KWA mtelezo kabisaa!tuwaache wale ni zamu Yao!!

Mzee Warioba alionya hii kitu kuwa ipo SIKU watashika wasiotarajiwa na watatugawa ni KWELI Sasa tumegawanywa makundi mawili ya chawa(waimba mapambio) na wasomi wenye uweledi waliokubali kuongozwa na uweledi wao!!

Sasa acha mapambano yaendelee!!
 
Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.
Ni kama vile ulikuwepo kwenye discussion na ukaona kuwa rais hakukubaliana na mawazo ya huyo waziri.
 
Back
Top Bottom