Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania.

Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.
 
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania. Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.
Acha sensorship jf
 
Tangu Jadi Wamasai wanakaa huko,Sasa kama shida ni uhifadhi wawekewe mipaka kwamba hapa mwisho kupanua makazi yenu,huku ni hifadhi.

Pia serikali idhibiti wahamiaji wapya,Mbona rahisi! Acheni wamasai wakae huko.

Wewe ukihamishwa kizimkazi utakubali?
 
Mimi sitaegemea upande wowote nitakaa kati kwenye ukweli, kuligana na katiba ya nchi yetu wamasai walipaswa kuondoka kama ni eneo nyeti kwa nchi yetu na serikali haiwezekani wakatae wao wengine wakubali,
Katikati ndio wapi?

Ngorongoro kama URITHI wa Dunia, haipo bila maasai.

Pia kisheria maasai, ngorongoro ni ardhi Yao na Wana hati hivyo vijiji.
 
samia ana akili sana hawezi kuufata ushauli wako maana ni ushauli unaoweza kumuondoa madarakani hata kabla ya uchaguzi.

..angeweza kufuata ila ameogopa.

..Wamaasai walikuwa wengi na walikuwa tayari kwa lolote.

..Na mahali walipoweka kambi ndio lango la utalii kwa upande wa Tanganyika.

..tukio lolote dhidi ya Wamaasai lingeleta maafa na mtikisiko mkubwa ktk biashara ya utalii Tanganyika.
 
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Word!
Hapa hata mimi naunga mkono kama ni kwa masilahi mapana ya uhifadhi wa mbuga na isiwe anapewa mtu binafsi.
 
Hapo ndiyo tatizo ,unawafukuzwa wamaasai kisha unampa Habibii mwarabu awinde na kuchukua wanyama na kuwapeleka Dubai kwa muda wa miaka 100.
Ni vizuri kuwa na ushahidi wa hili
Huu hapa uzi uliulizwa huu ushahidi miaka mitatu nyuma, lakini umejaa mbaambaa za akili ndogo amabao ndio wenye idadi kubwa nchini, na hakuna hata sehemu mtu kaleta ushahidi wa hili.

Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania.

Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.
Ngoja nikuambie kitu.
Kwa hulka na asili ya Watanzania hakuna Mtanzania anayeweza kuipinga serikali pindi serikali ikiamua kufanya jambo lake
Hakuna Mtanzania anayeweza kusonga mbele panapolia risasi au bomu la machozi. Watawala wenyewe tu ndio wataamua na kuwaonea huruma wananchi lakini tambua kuwa hayupo.
Gesi ya Mtwara iko wapi?
Bandari ya Dar es salaam iko wapi?
Chaguzi za serikali za mitaa na chaguzi kuu kiko wapi ?
Kama Watanzania wangekuwa na asili ya kupigania haki zao wangeanza na hivyo vitu 3 nilivyovitaja.
Narudia: Hakuna Mtanzania anayeweza kusonga mbele panapolia risasi, hakuna
 
Katikati ndio wapi?

Ngorongoro kama URITHI wa Dunia, haipo bila maasai.

Pia kisheria maasai, ngorongoro ni ardhi Yao na Wana hati hivyo vijiji.
Wamasai wakikataa itakua tabia hiyo na sehemu, nyingine nchini, endapo serikali itakua inapendekeza eneo kwa ajiri ya shughuli za umma na n.k?
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Unaandika haya ukiwa nyuma ya keyboard yako kwa kifupi ni nadharia nyingi. Naamini maamuzi ya kuwaondoa yameahirishwa ili uchaguzi wa serikali za mitaa upite kwanza. Ni busara ya mawaziri waliokwenda kule Ngorongoro kwa kushirikiana na Rais mwenyewe.
 
Kwahiyo wameghairisha kwasababu ya Uchaguzi?
Kama uchaguzi ndiyo issue kubwa maana yake CCM wanachojali au kipaumbele chao ni kutawala
 
Hawa si ndio wanamuingiza chaka mama ili achukiwe.Jamani yule ni mama yetu tumhurumie sometime lawama tunazo mpa za maamzi anayo fanya ni ushauri mbaya wa wanafiki wanaompa ili aharibu na akiharibu wanaenda kuchekea chooni🤣
Unataka maza asichukiwe tu hata kama tutapata hasara. Ili mradi tu maza apendwe au siyo?
 
Yeah, wameona acha hifadhi iteketee ili mradi tu wapate kura.

Hivi akina Tundu Lissu ndio wanataka wamasai waachwe tu waishi kwny hifadhi?
Tuna mambo ya kihinga sana
Wamasai ni Watanzania kama Watanzania wengine. Isitoshe wamejengewa nyumba za kisasa na kupewa maeneo ya kufugia lakini wanasiasa maTraQyo wanataka point 3 kwenye suala la msingi kama hili
Ingekuwa jiwe wangedundwa na wangehama bila kujua wanakwenda wapi
 
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.

Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.

Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.

Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?

Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.

Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Naunga mkono hoja.

Nimeona Mawaziri wanasema Masai watendelea kuhama Kwa hiari licha ya Serikali kuwarejeshea Huduma.

Masai wahame, sehemu ya kupeleka ipo
 
Back
Top Bottom