kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Utakua umetumwa na waarabu na wenzao wamarekani au pengine ni mnufaika kwenye huu mpango mkubwa kuwahamisha wamasai. Watanzania tunasema hamtafauli kunuua au kupora ardhi ya watanzania. Hili likitokea ndio mwanzo wa kuvurugika amani tanzania.Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
.
Na wala watanzani hawatakubali kwa umoja wao vibaraka kugawa ardhi yao kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji au lolote lile . Na ndio maana tunapinga mpango wa kuwapa wageni kuendesha bandari zetu au uwekezaji zozote za umma maana kwa hali ya sasa ni kisingizio tu cha kugawa au wageni kupora mali zetu asili. Wenyewe tunaamini chini wa serikali nzuri yenye uzalendo hatuwezi kushindwa kuongoza taasi zetu.