R.I.P Ali Hassan Mwinyi.Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.
Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2920484
Kumbe ni tukio la zamani sana?At last wametangaza
Samahani mkuu.mimi niliandika kabla ya kutangazwa kwa kifo cha mzee wetu aliyetangulia mbele za haki.nisamehe na tayari nimeshabadilisha haraka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka nimeona aibu. Huna uchungu hata na msiba wa mzee Mwinyi ? Umemsifiaa samia mwanzo mwisho bila hata kumkumbuka marehemu kwa mazuri yake. Kweli pepo ngumu machawa mna kazi.
Watazika au watasafirisha mkuuHapatakalika narudia tena hapatakalika
Tumekusamehe lucas mwashambwaNisamehe mkuu niliandika kabla na hata hivyo nimeshabadilisha haraka sana
Baada angeliondoka Kikwete anaondoka Mzee Mwinyi maana Kikwete ndiye chanzo cha matatizo tunayoyapitia Sasahivi,ila basi tu kazi ya Mungu aina makosa.Rip Mzee Mwinyi umekula mema ya nchi.Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.
Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2920484
Wewe binti 🤐Apumzike kwa amani mzee wetu.hana deni kwa watanzania maana alifanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake katika kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umaskini..lala salama mzee wetu kazi umeimaliza na uliwatendea haki watanzania wote kwa kugusa maisha ya kila mtu..
Nitamkumbuka kwa kusema Jiwe atawale mileleKiukweli Demokrasia ya Vyama Vingi ilijengwa na Mzee Mwinyi japo baadae waliomfatia waliichakachua
Hapa Iringa tulipata Mbunge wa NCCR mageuzi Mwalimu wangu Kibasa
Wewe utamkumbuka kwa lipi?
Mungu wa mbinguni mrehemu Mzee Mwinyi