Tuliwasimanga sana Chadema Wakati wa msiba wa Lowassa na ile ajali ya Arusha

Je, Jumamosi siku ya mazishi ya mzee Mwinyi Uwanja wa Mkapa ufungwe?

Ni hilo tu Komredi Lucas

Mlale Unono 😀😀
 
wa kwenda mpirani Tutaenda na wa msibani wataenda, Kila mtu ahudhurie panapo mpa amani
 



Hii ndio Taarifa ya Serikali iliyosambazwa kwa vyombo vya habari usiku huu, Kwamba Mzee huyu ataagwa na Wananchi wenzake kwenye Uwanja wa Uhuru tarehe 1/3/2024, kuanzia saa 8 Mchana , kabla ya kusafirishwa kuelekea kwao Zanzibar kwa Mazishi yaliyopangwa kufanyika Tarehe 2 March.

Apumzike kwa Amani
 
Siyo siku ni tarehe! Siku aliyokufa ni Alhamisi, tarehe ni Februari 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…