Azarbaijan ni rafiki mkubwa wa Israel na Iran anataka kujipendekeza na kujifanya mtu mzuri na hayo ndio majibu ambayo hayana majibu. Mauwaji ya Waisrael+++1000 nikiama kwa kila alie shiriki Israel they mean what they mean but no proofImethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem na waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Kumbuka alipiga ndani ya ubolozi na akawaua majenelali.....takbirrrrIsrael hawezi kusubutu kufanya hayo kwa Iran, hio imetokana na hali ya hewa mbaya au matatizo ya helicopter yenyewe inaonyesha ya zamani sana.
Yupo peponi na mabikira 700 muda huu anakula bataUpdate jamani hali ipoje huko, wamepona?
Waarabu wa Buza tumeumbukaHutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa
Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
Kwamba wamezidiwa hata na TMA ya mbagala 😬😬😬....Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
Iran sio warabu, unashadadia kuona mwenzako amefariki, kwanini? Hii nchi kuna watu wanaushabiki wa ajabu sana, iyo kichwa yako ni kama ulipewa kumezea mate tu kakaMwarabu akifa hakuna hasara
Kama ni kweli basi maisha sio rahisi aiseeYupo peponi na mabikira 700 muda huu anakula bata
Sasa wametumwa wakapigane au? Mna mbwembwe sana nyie maamuma huku hamna lolote. Ukisoma.humu JF jinsi waajemi wa kisiwandui mnavyoisifia Iran unaweza jua kuwa ni bonge la nchi kumbe ni sawa na Somalia tu. Jamaa wapo zama za Ujima na Wameshindwa hata kufanya matazamio ya hali ya hewa kwa ajili ya kiongozi mkubwa wa nchi.Kikosi cha 65 cha Kikosi Maalum cha Kikosi cha Ndege cha Iran, kilichofunzwa katika vita vya msituni, kimetumwa karibu na eneo la ajali ya chopper.
Kashaliwa kichwa hiyo....bado Yule kibabu iko siku atatoka Tu kwenye shimo....Israel akiwa na ugomvi na Iran sababu Iran anajifanya super power nchi za kiislamu halengi raia wa Iran kivita kwake raia wa kawaida wa Iran ni Liw value targets Israel analenga High value targets magenerali wa Iran na viongozi wa Serikali ya Iran. anawaacha wananchi wa kawaida wa Iran wale maisha yao as usual
Na Israel akipiga high value target Huwa kimya hatoi press statement yeyote
Maroli au Malori?.
Inashangaza mimi maroli yangu nayaona kwenye GPS yanakwenda Rwanda,
The Ayatolah was not in the helicopter,it is the President of Iran,Raisi and others who were in the helicopter.Soma vizuri post.Ayatolah is Dead Hezbolah is Finished.
Wamekumbuka kubeba tende?Kikosi cha 65 cha Kikosi Maalum cha Kikosi cha Ndege cha Iran, kilichofunzwa katika vita vya msituni, kimetumwa karibu na eneo la ajali ya chopper.
Kauli yakutisha sana kutoka kwa Waziri Netanyahu. "Watu walio husikakupanga na kufanikisha na mauwaji ya Waisrael mwaka jana ni maiti zinazo tembea" hii kauli hii itaacha vilio vingi sana pasipo majibuImethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem na waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Mkuu naweza sema mjinga ni wewe.Iran nchi ya watu wajinga pia, jamaa hafatilii utabili wa hali ya hewa
Mbwa sio haramu bali baadhi ya sehemu zake ni najisi hasa mdomoni hivyo unatakiwa kuwa makini nazo .Mbona nimeona mbwa wa utafutaji huko wanaendelea kumtafuta mheshimiwa Rais
Wakati huku mwembe chai tunafundishwa mbwa haram na haifai hata kumsogelea
TofautishaSasa hivi ni giza Iran na bado Mzoga wa Ayatolah haujapatikana.
AMANI inarejea Mashariki ya Kati.
Tusubiri,but all signs show that all those who were on board are dead,na sidhani kama ni kizembe.Sio rahisi wafe kizembe namna hio!