Huna akili huyo Marekani unaye msema rais wake sialisha wahi kupingwa risasi na kuuawa na mhuni wa mitaani ?saa nyingine mtumiage akili.Kama chombo kikubwa kwako ni Tv Imaan unatarajia utaona habari kama hiyo?
Kuvimba kote kwa Iran masaa kibao mpaka sasa wameshindwa kufika ilipoanguka hiyo chopa, sasa hata hao wamejeruhi si lazima wafe kwa kuvuja damu nyingi?
Ndio huwa nashangaa vinchi kama hivi Iran unataka kumvimbia Mmarekani wakati rescue ya Rais wao tu inawashinda.
Hili tukio limewaacha uchi Iran walivyokuwa overrated na wavaa kobanzi.
Tusubiri.
Iran ni Jamhuri ya kiislamu, Rais ndio kiongozi wa serikali, Ayattollah ni mkuu wa nchi, mfumo wao unataka kufanana na Uingereza.Ni sahihi hata mimi limenifikirisha sana. Inakuwaje kiongozi mkubwa wa nchi anaenda ziara kwenye eneo lenye Ukungu na baridi kali bila kuwa na uhakika wa usalama wake?
Nimewaza labda jamaa hana nguvu kimamlaka. Naomba nijifunze bro, yule Ayatoula ni nani? Yule anayepigaga mikwara Israel.
Mwisho wa Islamic Republic lakini Iran itatawaliwa KiDemokrasia.Iran kwenye hili nadhani watarudisha majeshi nyuma maana sasa wanaona mwisho wa Taifa lao
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.Update jamani hali ipoje huko, wamepona?
Tanzania kuna vituko huyu mlokole yupo Buzebazeba anatamba anawashambulia iranLeo ndo nimejua Iran mchumba tu
Hizo zinaitwa inside job, kwa akili za Madrasa huwezi kulielewa hilo.Huna akili huyo Marekani unaye msema rais wake sialisha wahi kupingwa risasi na kuuawa na mhuni wa mitaani ?saa nyingine mtumiage akili.
Huyo Grand Ayatolah nae atajaa kwenye mziki wa Netanyahu.Ayatollah anaweza kumkataa
God Bless IsraelKikosi cha 65 cha Kikosi Maalum cha Kikosi cha Ndege cha Iran, kilichofunzwa katika vita vya msituni, kimetumwa karibu na eneo la ajali ya chopper.
Malipo ni hapa hapa dunia ameua maelfu mengi kama siyo malaki kwa kufadhili magenge ya kigaidiGiza, mvua, ukungu, baridi na hali inazidi kuwa mbaya
Mazingira yamekuwa magumu sana kwa vikosi vya uokoaji
MOSSAD Wana ma-agent mpaka kwenye cabinet ya Iran na Middle na Far EastHizo zinaitwa inside job, kwa akili za Madrasa huwezi kulielewa hilo.
Hata Waziri mkuu wa Israel alishauwawa kwa risasi na kijana wa kiyahudi.
Kuzika si mpaka upate hizo maiti, kwani Air Malaysia imeshaonekana?Hapo ni Kupanga tarehe ya mazishi tu. Wadau wakale per Diem. Dreamliner lishapata trip ya Tehran tayari. Abiria mnaoenda China na India kapandeni Ethiopian
Kuficha aibu wataokota mzoga wowote wazuge nao kwenye state television.Kuzika si mpaka upate hizo maiti, kwani Air Malaysia imeshaonekana?
hawa waliamua kujitoa mhanga tu, huwezi peleka chopper kwenye hali kama hii..Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.
Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi
View attachment 2994368
View attachment 2994371View attachment 2994372
Wakati Houthi anafunga Bahari na kuzuia Meli zisije Afrika ya Mashariki kwa Amri ya Ayatolah huo ni UTU?!Dini zinawatoa utu sana!
Amani ipi mbona hata kutengeneza silaha anabanwa?Sasa hivi ni giza Iran na bado Mzoga wa Ayatolah haujapatikana.
AMANI inarejea Mashariki ya Kati.
Tshishesedi Ni suala la muda tu. Ajitahidi nae asitumie chopperAmani ipi mbona hata kutengeneza silaha anabanwa?
Na huyo ni Raisi sio Ayatolah
Maisha haya kuwa na mapenzi zaidi ni shida aisee yaani
Na huko DRC jamaa wameshindwa kumpindua Rais