ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Huna akili huyo Marekani unaye msema rais wake sialisha wahi kupingwa risasi na kuuawa na mhuni wa mitaani ?saa nyingine mtumiage akili.Kama chombo kikubwa kwako ni Tv Imaan unatarajia utaona habari kama hiyo?
Kuvimba kote kwa Iran masaa kibao mpaka sasa wameshindwa kufika ilipoanguka hiyo chopa, sasa hata hao wamejeruhi si lazima wafe kwa kuvuja damu nyingi?
Ndio huwa nashangaa vinchi kama hivi Iran unataka kumvimbia Mmarekani wakati rescue ya Rais wao tu inawashinda.
Hili tukio limewaacha uchi Iran walivyokuwa overrated na wavaa kobanzi.