Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Kama chombo kikubwa kwako ni Tv Imaan unatarajia utaona habari kama hiyo?

Kuvimba kote kwa Iran masaa kibao mpaka sasa wameshindwa kufika ilipoanguka hiyo chopa, sasa hata hao wamejeruhi si lazima wafe kwa kuvuja damu nyingi?

Ndio huwa nashangaa vinchi kama hivi Iran unataka kumvimbia Mmarekani wakati rescue ya Rais wao tu inawashinda.

Hili tukio limewaacha uchi Iran walivyokuwa overrated na wavaa kobanzi.
Huna akili huyo Marekani unaye msema rais wake sialisha wahi kupingwa risasi na kuuawa na mhuni wa mitaani ?saa nyingine mtumiage akili.
 
Ni sahihi hata mimi limenifikirisha sana. Inakuwaje kiongozi mkubwa wa nchi anaenda ziara kwenye eneo lenye Ukungu na baridi kali bila kuwa na uhakika wa usalama wake?

Nimewaza labda jamaa hana nguvu kimamlaka. Naomba nijifunze bro, yule Ayatoula ni nani? Yule anayepigaga mikwara Israel.
Iran ni Jamhuri ya kiislamu, Rais ndio kiongozi wa serikali, Ayattollah ni mkuu wa nchi, mfumo wao unataka kufanana na Uingereza.

Kimadaraka Rais wa Iran ni wa pili kimadaraka lakini yeye ndio mwenye serikali.
 
Update jamani hali ipoje huko, wamepona?
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.

Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi



20240519_201952.jpg
20240519_201952 (1).jpg
 
Sasa hivi ni giza Iran na bado Mzoga wa Ayatolah haujapatikana.

AMANI inarejea Mashariki ya Kati.
Amani ipi mbona hata kutengeneza silaha anabanwa?
Na huyo ni Raisi sio Ayatolah
Maisha haya kuwa na mapenzi zaidi ni shida aisee yaani
Na huko DRC jamaa wameshindwa kumpindua Rais
 
Back
Top Bottom