Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Physician kutengeneza gari ??????
Shule ulikimbia umande au
 
Sio kweli mwenye mamlaka ya kiongoozi ni Raisi na sio kiongozi wa kidini, kawadanganye baby classes
Kongozi wa kidini ni Supreme leader ndio mwenye ushawishi mkubwa sana nchini Iran na ndiye anayeamua nani awe rais kwa mlango wa nyuma. Kama hataki uwe raisi huwez kuwa.
 
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.

Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi

View attachment 2994368

View attachment 2994371View attachment 2994372
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.

Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi

View attachment 2994368

View attachment 2994371View attachment 2994372
Mungu asaidie tu kwa kweli , sijui kama kuna kutoka salama kwa hali hii!
 
Kutumia Mi-17 kwa VIP transport ni kulazimisha mambo. Haina latest safety features ingawa ni very reliable na low cost.
Al jazeera hapa ndo walikua wanachambua kwamba anatumia ndege za zamani kwa sababubya vukwazo vya USA kwamba hawezi pata ndege mpya wala vifaa vya ndege, sijafatilia indeep
 
Labda kuna kitu kinaendelea maana siasa ni za kuacha kama zilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…