Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Marehemu Ayatolah kwisha habari yake
close-human-skull-turban-on-260nw-553381519.jpg
 
Hao wazungu ndio maneno yao haya
Usiamini sana hao ila ni kasumba wakati mwingine ni kama mpira tu
Hata Saddam walisema ana Silaha hizo ila ilikuwa ni uzushi tu ili waibe mafuta na artifact zao

Unajua Bush na Saddam walikuwa wanashona viatu kwenye kiwanda kimoja huko Italy?
Wasipoelewana tu na uhasidi unaanza
Iran kuna physician katengeneza gari linalotumia maji yes Dasani 😄 ndio maana wanawapiga vita sana jamaa wana waajemi wana akili sana
Ushabiki tuache pembeni tuongee fact
Iran anaogopwa na Israel.zaidi ya mmarekani
Na mkuu wa majeshi wa Israel atajiuzuru soon
Physician kutengeneza gari ??????
Shule ulikimbia umande au
 
Sio kweli mwenye mamlaka ya kiongoozi ni Raisi na sio kiongozi wa kidini, kawadanganye baby classes
Kongozi wa kidini ni Supreme leader ndio mwenye ushawishi mkubwa sana nchini Iran na ndiye anayeamua nani awe rais kwa mlango wa nyuma. Kama hataki uwe raisi huwez kuwa.
 
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.

Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi

View attachment 2994368

View attachment 2994371View attachment 2994372
Bado hakuna update kuhusu kupona au vifo. Pia bado hawajapata eneo ilipotokea ajali.

Mazingira ni magumu sana mvua, ukungu, giza na baridi

View attachment 2994368

View attachment 2994371View attachment 2994372
Mungu asaidie tu kwa kweli , sijui kama kuna kutoka salama kwa hali hii!
 
Kutumia Mi-17 kwa VIP transport ni kulazimisha mambo. Haina latest safety features ingawa ni very reliable na low cost.
Al jazeera hapa ndo walikua wanachambua kwamba anatumia ndege za zamani kwa sababubya vukwazo vya USA kwamba hawezi pata ndege mpya wala vifaa vya ndege, sijafatilia indeep
 
Kwahiyo fleet ya Rais ni vilaza kujua kwamba hali ya hewa ni mbaya kwa helicopter hivyo waghairi safari kwa anga.

Ama basi Raisi ni muoga wa kusafiri kwa barabara, ama ni ubishi tu. Kobe Bryant afe kwa helicopter kisa ukungu alafu na Rais mzima afe kisa ukungu wakati ana team ya wataalamu wanaweza chukua option nyingine ya usafiri.
Labda kuna kitu kinaendelea maana siasa ni za kuacha kama zilivyo.
 
Back
Top Bottom