alafu kuna russia&israel, russia&palestine, ukraine&israel na ukraine&palestineUnaweza pia kukuta wafuasi wa CHADEMA wanamshabikia Putin, Xi, Kiduku na Raisi huku wafuasi wa CCM wanamshabikia Zelenskyy na Biden!
Uliyoandika yoote mbwembwe tu za vijiwe vya alkasus cha msingi kaomba msaada maana uwezo hana tena kauomba peupee na kaomba kwa mahasimu wake wala hakwenda kuomba kwa marafiki zake wa kufa na kuzikana maana anajua uwezo wa kumsaidia hawana kwenye hilo tatizo linalomkabili kwa sasa.Unajua maana ya kuwa overrated?
Kama ni Iran wa kawaida kwanini USA na wenzake wanamzingatia sana??
Mtu anayefadhili mataifa unamuita overrated!?
Hiyo Azerbaijan province umeiona jinsi ilivyo mazingira yake?
Ni sahihi kuomba msaada.
Mkuu helicopter inafika mahala ambapo ndege haifiki. Kwenye rescue missions wanatumia helicopter kuliko ndege. Kwenye rough weather, kuzima moto, kupita sehemu korofi kama milimani. Helicopter inapitia mazingira magumu nayo inachangia ajari zake kuwa nyingi, ni kama Mloganzila inapewa wagonjwa walioshindikana alafu inalaumiwa kwa kuwa na vifo vingi.Helicopter sijui kwanini wanazipenda hivi
Mwaka 2013 kulikuwa na mchina mmoja billionaire alienda France kununua shamba la mizabibu vineyard la ekari 65 pamoja na castle moja matata ndani ya shamba hilo
Billionaire mfaransa mwenye shamba hilo akamwambia twende nikutembeze kuangalia shamba lako, basi jamaa mchina na mfaransa wakapanda helicopter wakamchukua na mtoto wa mchina ila mke wake alikataa akasema anaogopa helicopter na kubaki mjengoni
Pilot alikuwa mwenyewe Mfaransa ilipopaa tu mda kidogo ikaanguka na kuwaka moto
Kwa hiyo mkuu helicopter hata iwe mpya ajali zake ni ghafla sana
Unaweza kujisomea habari ile nimeikumbuka tu
Hata yule mcheza basketball pia daa
Helicopter nuksi View attachment 2994482
Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.Uliyoandika yoote mbwembwe tu za vijiwe vya alkasus cha msingi kaomba msaada maana uwezo hana tena kauomba peupee na kaomba kwa mahasimu wake wala hakwenda kuomba kwa marafiki zake wa kufa na kuzikana maana anajua uwezo wa kumsaidia hawana kwenye hilo tatizo linalomkabili kwa sasa.
Si wansemaje iran iko mbali sana kiteknolojia leo hii imekuwaje tena? halafu marafiki zake si china, russia, n.korea hawa nao hawana msaada kumbe ehhhh. Ukiwasikia kobaaaz wanatoka povu humu iran yupo juu, iran yupo juu kumbeeeeee mbwembwe tuHili jambo limekuwa zito mno wakuu mpaka Iran wamewaomba Umoja wa Ulaya(EU) wawasaidie kumtafuta Rais wao!
Iran imechezea vikwazo vya marekani muda mrefu hata kuagiza helkopta mpya wameshindwaHawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.
Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.
Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Ona huyu matako mwengine!Kichaa were unae abudu waarabu
Nilisahau hili kwenye helicopter latest ni ama Marekani ama Ulaya, hakuna konakona.Iran imechezea vikwazo vya marekani muda mrefu hata kuagiza helkopta mpya wameshindwa
Pole sana allah na mudi wamefanya muujiza na rais yupo salama salimin.Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.
Unaropoka kishabiki sana.
Sasa hata chui ameshindwa kujua huyu ni raisInasemekana mwili wa Ayatolah umeliwa na Chui wa Milimani maana wamekosa Mwili wameambulia Kilemba tu.
View attachment 2994483
[emoji115]Ayatolah kaliwa na huyu Mwamba Chui wa kwenye Theluji Snow Leopard.
Hongera kwa kuropoka maana hapa haizungumziwi dini inazungumziwa taifa.Pole sana allah na mudi wamefanya muujiza na rais yupo salama salimin.
Soma hapo wenye teknolojia yao wanasemaa....Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.
Unaropoka kishabiki sana.
Labda amegundua kuwa Grand Ayatolah akifa huyu ndie angechukua nafasi akaona amle.Sasa hata chui ameshindwa kujua huyu ni rais
Nilisahau kuzingatia hilo mkuu. Na ubaya wa helicopter ni kwamba ni ngumu kuunda, kwenye ndege unaweza jaribu kibishi ila kwenye helicopter sio kama matako kwamba kila mtu anayo.Al jazeera hapa ndo walikua wanachambua kwamba anatumia ndege za zamani kwa sababubya vukwazo vya USA kwamba hawezi pata ndege mpya wala vifaa vya ndege, sijafatilia indeep
Kang'ata kilemba huyo.Sheikh kashang'ata shuka huyo