Helicopter sijui kwanini wanazipenda hivi
Mwaka 2013 kulikuwa na mchina mmoja billionaire alienda France kununua shamba la mizabibu vineyard la ekari 65 pamoja na castle moja matata ndani ya shamba hilo
Billionaire mfaransa mwenye shamba hilo akamwambia twende nikutembeze kuangalia shamba lako, basi jamaa mchina na mfaransa wakapanda helicopter wakamchukua na mtoto wa mchina ila mke wake alikataa akasema anaogopa helicopter na kubaki mjengoni
Pilot alikuwa mwenyewe Mfaransa ilipopaa tu mda kidogo ikaanguka na kuwaka moto
Kwa hiyo mkuu helicopter hata iwe mpya ajali zake ni ghafla sana
Unaweza kujisomea habari ile nimeikumbuka tu
Hata yule mcheza basketball pia daa
Helicopter nuksi
View attachment 2994482