Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Unajua maana ya kuwa overrated?
Kama ni Iran wa kawaida kwanini USA na wenzake wanamzingatia sana??
Mtu anayefadhili mataifa unamuita overrated!?
Hiyo Azerbaijan province umeiona jinsi ilivyo mazingira yake?
Ni sahihi kuomba msaada.
Uliyoandika yoote mbwembwe tu za vijiwe vya alkasus cha msingi kaomba msaada maana uwezo hana tena kauomba peupee na kaomba kwa mahasimu wake wala hakwenda kuomba kwa marafiki zake wa kufa na kuzikana maana anajua uwezo wa kumsaidia hawana kwenye hilo tatizo linalomkabili kwa sasa.
 
Helicopter sijui kwanini wanazipenda hivi
Mwaka 2013 kulikuwa na mchina mmoja billionaire alienda France kununua shamba la mizabibu vineyard la ekari 65 pamoja na castle moja matata ndani ya shamba hilo
Billionaire mfaransa mwenye shamba hilo akamwambia twende nikutembeze kuangalia shamba lako, basi jamaa mchina na mfaransa wakapanda helicopter wakamchukua na mtoto wa mchina ila mke wake alikataa akasema anaogopa helicopter na kubaki mjengoni
Pilot alikuwa mwenyewe Mfaransa ilipopaa tu mda kidogo ikaanguka na kuwaka moto

Kwa hiyo mkuu helicopter hata iwe mpya ajali zake ni ghafla sana
Unaweza kujisomea habari ile nimeikumbuka tu
Hata yule mcheza basketball pia daa
Helicopter nuksi View attachment 2994482
Mkuu helicopter inafika mahala ambapo ndege haifiki. Kwenye rescue missions wanatumia helicopter kuliko ndege. Kwenye rough weather, kuzima moto, kupita sehemu korofi kama milimani. Helicopter inapitia mazingira magumu nayo inachangia ajari zake kuwa nyingi, ni kama Mloganzila inapewa wagonjwa walioshindikana alafu inalaumiwa kwa kuwa na vifo vingi.

Ukiachana na hizi za kina Deo Filikunjombe, VIP transport ya head of state kama Iran inatakiwa service na airworthiness nzuri sana. Na lazima mazingira yawe rafiki, sio suala kama la Kobe Bryant rubani alijiamulia kuendesha, kwa Rais kuna security protocols.
Mbona hata Marekani wana Marine One ya kumbeba Rais
 
Uliyoandika yoote mbwembwe tu za vijiwe vya alkasus cha msingi kaomba msaada maana uwezo hana tena kauomba peupee na kaomba kwa mahasimu wake wala hakwenda kuomba kwa marafiki zake wa kufa na kuzikana maana anajua uwezo wa kumsaidia hawana kwenye hilo tatizo linalomkabili kwa sasa.
Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.
Unaropoka kishabiki sana.
 
Hili jambo limekuwa zito mno wakuu mpaka Iran wamewaomba Umoja wa Ulaya(EU) wawasaidie kumtafuta Rais wao!
Si wansemaje iran iko mbali sana kiteknolojia leo hii imekuwaje tena? halafu marafiki zake si china, russia, n.korea hawa nao hawana msaada kumbe ehhhh. Ukiwasikia kobaaaz wanatoka povu humu iran yupo juu, iran yupo juu kumbeeeeee mbwembwe tu
 
Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.

Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.

Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Iran imechezea vikwazo vya marekani muda mrefu hata kuagiza helkopta mpya wameshindwa
 
Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.
Unaropoka kishabiki sana.
Pole sana allah na mudi wamefanya muujiza na rais yupo salama salimin.
 
Pole sana allah na mudi wamefanya muujiza na rais yupo salama salimin.
Hongera kwa kuropoka maana hapa haizungumziwi dini inazungumziwa taifa.
Hapo Iran kuna mpaka raia wa kikristu wanamuombea kiongozi wao arudi salama.
Yaonekana kijana wa balehe wewe.
 
Hii helkopta imepotea masaa Tisa sasa...

Kama walipata majeraha damu itakuwa imetoka yote
 
Iran kuomba msaada kwa Western haimaanishi kuwa China na Russia hawawezi kumsaidia bali Westerners wapo katika good position ya kumsaidia kuliko hao wengine.
Unaropoka kishabiki sana.
Soma hapo wenye teknolojia yao wanasemaa....
sources at the US State Department have said they are aware of reports of the helicopter going down somewhere between Tabriz and Tehran, the Iranian capital.

But beyond that the State Department doesn’t have any comment on the situation.
 
Al jazeera hapa ndo walikua wanachambua kwamba anatumia ndege za zamani kwa sababubya vukwazo vya USA kwamba hawezi pata ndege mpya wala vifaa vya ndege, sijafatilia indeep
Nilisahau kuzingatia hilo mkuu. Na ubaya wa helicopter ni kwamba ni ngumu kuunda, kwenye ndege unaweza jaribu kibishi ila kwenye helicopter sio kama matako kwamba kila mtu anayo.

Sasa Wamarekani watasema ambavyo vikwazo vyao vina tija.
 
BREAKING: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA IRAN (VAHIDI) AKIHUSU AJALI YA RAIS RAISI

“Bado hatujafikia lengo la ajali.

Baada ya ajali hiyo, vikosi vyote viliunganishwa kwa helikopta ya rais, vikundi vyote, ikiwa ni pamoja na IRGC, jeshi, Faraja, Hilali Nyekundu, vikosi maarufu na wanakijiji wote, kwa hiari na kwa nia wanatafuta mahali ilipotokea helikopta ya rais.

Ikizingatiwa kuwa eneo hilo lina mteremko mkali na wenye misitu na kwa upande mwingine tunashuhudia mvua kubwa, eneo la kuona ni mdogo sana na kwa sababu hiyo, vikosi vya uokoaji kwa bahati mbaya bado havijafikia hatua inayotarajiwa, lakini vikosi vina uwepo mkubwa katika eneo hilo na tunatumai Kwa maombi ya watu wapendwa, watafika eneo la ajali haraka iwezekanavyo."
 
Back
Top Bottom