Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Wewe mbona unakua kama muha au unatoka kigoma nini? Kutumia helicopter ilyotengezwa US ni propaganda? Unajua maana ya propaganda?
 
Hii taarifa ya simu ni ipo tangu saa kumi na mbili imewekwa na media za iran, inakuwaje hadi sasa hawajafika eneo la tukio?
No hii ni breaking News haina saa 1 tangu taarifa hii itolewe na kumbuka ajali hii inahusisha watu wakubwa sana kwa sasa. Iran tayari ina info's zote kuhusu hili tukio na hali ya majeruhi lakini wana zihold kwasababu za kiusalama.
 
JIPATIE NOTES ZA UHAKIKA, NOTES ZA KUKUONGEZEA KUJIAMINI.

Ni Notes za kukufanya uijue vizuri Physics, Chemistry, Biology, Maths

Hii ni kwa matumizi ya O-Level pekee.

kwa mawasiliano zaidi nipigie simu 0675703608
Na wewe jifunze kuweka full page isomeke sio thumbnail.
 
Nyatunyatu washafanya yao, sio ya kawaida hii...inaitwa right place, right time, target is down.
 
Wakuu simu ya Rais inaita baaada ya trace na usaidizi wa umoja wa ulaya

Hii inamaanisha ndege haijalipuka

Kwahiyo 99% waliopata hard landing wapo hai
 
Wakuu simu ya Rais inaita baaada ya trace na usaidizi wa umoja wa ulaya

Hii inamaanisha ndege haijalipuka

Kwahiyo 99% waliopata hard landing wapo hai
Kuita ni jambo moja na kujibiwa ni jambo lingine, je ikiita wanapokea na kuzungumza nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…