Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Soon lawama zitakwenda Israel na US
 
No hii ni breaking News haina saa 1 tangu taarifa hii itolewe na kumbuka ajali hii inahusisha watu wakubwa sana kwa sasa. Iran tayari ina info's zote kuhusu hili tukio na hali ya majeruhi lakini wana zihold kwasababu za kiusalama.

Usalama upi Sir Roberts? Hofu ni nini kutoa taarifa rasmi? Nchi Itapinduliwa? Wananchi wata riots...Hebu tuweke sawa...!
 
Wanakijiji kadhaa ndio wapo mstari wa mbele kupanda mliman

Si helikopita wala jeshi waliokaribu na eneo la tukio

Hii inamaanisha nini

Hii inamaanisha kuwa km wanakijiji watamkuta rais yupo hai kiusalama hawataruhusiwa kumshika ila itabidi wapige simu kwanza kwa ayatollah atoe go ahead
 
Mwarabu akifa hakuna hasara

Iran sio waarabu, elewa hilo! Pia kama vipi kaungane na wale makafiri wanaouwa watoto, wamama na wazee wasio na hatia utakipata kama kilichowapata wale wa Kaskazini.
 
Kumbe huna akili .haya pumzika tuache baba zako tuendelee na mjadala naona una usingizi

Hii ya Aljazera vipi? Haijatiwa chumvi?


What’s the latest on the ground? Is anyone helping?​

Muddy terrain and nighttime dark are hampering rescue teams trying to locate the crash site.

The European Commission’s Copernicus satellite mapping system has been activated to help with the response, crisis management commissioner Janez Lenarcic said on X.

Iraq has instructed its interior ministry, the Red Crescent and other bodies to help with the search.
 
South afrika nawakubali sana, ila njoo huku sasa uone wanavyomshobokea kafiri wa kiyahudi
 
Baadhi ya maoni mitandaoni

Tutegemee ilikuwa SABOTAGE.!AU ‘SIMPLY GODS WILL’ YEAH.. IRAN INAWEZA KUPATA UHURU HATIMAYE.!..kutoka kwa WASHENZI wale wauaji.! Wanatawala kwa kuwatishia raia wao kwa kujisalimisha.!
 
Sir Roberts, nakuvulia kofia Mkuu.....Wewe ndio unayetambua hii habari imetiwa chumvi....Hii hapana.......! Tunakusuburi Mkuu utupe updates zisizo na chumvi!
Huwezi kujua mi ni nani nan ninafanya kazi gani kwahiyo tusibishane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…