Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Kosugi: Chuki ya Waarabu/ Wairan dhidi ya Israel ni ya dini tu! Mengine ni nyongeza.
Ni wewe unasema.
1946 kwenda chini wayahudi waliishi vema na waarabu,je unalijua hili?
Tena waliachiwa Jerusalem pasi na utata.
Una ushahidi wa kuthibitisha usemayo!?
Naanza kuamini anachokwambia sirjohnrobert sasa.
 
Israel hawezi kusubutu kufanya hayo kwa Iran, hio imetokana na hali ya hewa mbaya au matatizo ya helicopter yenyewe inaonyesha ya zamani sana.
Ya zamani sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.... wabongo bwana kila kitu wajuaji!
 
Giza na ukungu mzito kwa sasa umetanda eneo ambalo helikopta ya rais wa Iran ilianguka.

Your browser is not able to display this video.
 
kwa kudra za allah na mudi atapatikana hai na tena akiwa hana hata chembe ya jeraha, japo mahasidi wanaropka hapa jukwaani kuwa eti ameng'ata shuka tayari.
Una mzaha sana mkuu!
 
Reactions: DPN
BREAKING

IRNA confirmed that President Raisi was on board the helicopter and that rescue teams had yet to determine the location of the accident due to poor weather conditions.
Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
 
Ni wewe unasema.
1946 kwenda chini wayahudi waliishi vema na waarabu,je unalijua hili?
Tena waliachiwa Jerusalem pasi na utata.
Una ushahidi wa kuthibitisha usemayo!?
Naanza kuamini anachokwambia sirjohnrobert sasa.

Unajua unachokisema? Narudia tena unajua unachokisema! Unajua kweli historia wewe....Kweli iko kazi!
 
Iran sio waarabu, elewa hilo! Pia kama vipi kaungane na wale makafiri wanaouwa watoto, wamama na wazee wasio na hatia utakipata kama kilichowapata wale wa Kaskazini.
hivi watoto wasio na hatia ni wa Palestina tu na mataifa ya kiarabu?
 
Tatizo lingine arzebejian ni rafiki mkubwa wa israeli kidplomasia
Wewe unaisemea Armenia.
Azerbaijan ni MTOTO WA TURKIYE/UTURUKI.
Hata vita ya Nagorno-karabagh msaada aliomba Turkiye pale alipoona Armenia imepewa msaada wa kijeshi na Russia.
Yani taifa la kwanza Azerbaijan hulikimbilia ni Turkiye na wale ni asili moja.
 
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ "Ikiwa wewe ni adui wa Iran, wewe ni adui wa Palestina." - Nasrallah ya Hezbollah
 
Unajua unachokisema? Narudia tena unajua unachokisema! Unajua kweli historia wewe....Kweli iko kazi!
UNAIJUA FAILED COUP D'TAT ya wayahudi ya 1946 dhidi ya British Palestine mandate!??
Nijibu hapo๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ™Œ
 
Habana rafiki hata israeli ni Taifa rafiki na israeli
 
Wameanza kuomba msaada

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ