Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama unasubiri taarifa za kifo utangoja sana. Nenda kalale hajafa mtu hata mmojaKwa hiyo mpaka sasa hakuna taarifa kamili za uhai wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unasubiri taarifa za kifo utangoja sana. Nenda kalale hajafa mtu hata mmojaKwa hiyo mpaka sasa hakuna taarifa kamili za uhai wake!
Ni wewe unasema.Kosugi: Chuki ya Waarabu/ Wairan dhidi ya Israel ni ya dini tu! Mengine ni nyongeza.
Ya zamani sana🤣🤣🤣.... wabongo bwana kila kitu wajuaji!Israel hawezi kusubutu kufanya hayo kwa Iran, hio imetokana na hali ya hewa mbaya au matatizo ya helicopter yenyewe inaonyesha ya zamani sana.
Una mzaha sana mkuu!kwa kudra za allah na mudi atapatikana hai na tena akiwa hana hata chembe ya jeraha, japo mahasidi wanaropka hapa jukwaani kuwa eti ameng'ata shuka tayari.
Kama unasubiri taarifa za kifo utangoja sana. Nenda kalale hajafa mtu hata mmoja
Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.BREAKING
IRNA confirmed that President Raisi was on board the helicopter and that rescue teams had yet to determine the location of the accident due to poor weather conditions.
ha mzaha tena we huna imani na allah kuwa aweza muokoa mja wake?Una mzaha sana mkuu!
Ni wewe unasema.
1946 kwenda chini wayahudi waliishi vema na waarabu,je unalijua hili?
Tena waliachiwa Jerusalem pasi na utata.
Una ushahidi wa kuthibitisha usemayo!?
Naanza kuamini anachokwambia sirjohnrobert sasa.
hivi watoto wasio na hatia ni wa Palestina tu na mataifa ya kiarabu?Iran sio waarabu, elewa hilo! Pia kama vipi kaungane na wale makafiri wanaouwa watoto, wamama na wazee wasio na hatia utakipata kama kilichowapata wale wa Kaskazini.
Wewe unaisemea Armenia.Tatizo lingine arzebejian ni rafiki mkubwa wa israeli kidplomasia
Vijana wa Kiiran wakishangilia kifo cha Ayatolah.
View: https://www.youtube.com/live/hDcNJpBmZA0?si=GpqEsQp9tTAvuV_n
UNAIJUA FAILED COUP D'TAT ya wayahudi ya 1946 dhidi ya British Palestine mandate!??Unajua unachokisema? Narudia tena unajua unachokisema! Unajua kweli historia wewe....Kweli iko kazi!
Habana rafiki hata israeli ni Taifa rafiki na israeliWewe unaisemea Armenia.
Azerbaijan ni MTOTO WA TURKIYE/UTURUKI.
Hata vita ya Nagorno-karabagh msaada aliomba Turkiye pale alipoona Armenia imepewa msaada wa kijeshi na Russia.
Yani taifa la kwanza Azerbaijan hulikimbilia ni Turkiye na wale ni asili moja.
Mamlaka ya Usimamizi wa Majanga na Dharura ya serikali ya Uturuki iliripoti kuwa Iran imeiomba Uturuki kutafuta na kuokoa helikopta yenye mfumo wa kuona usiku. Takriban waokoaji 32 na magari 6 waliondoka katika miji ya Van na Erzurum kuelekea eneo hilo.
Kwa kuongezea, timu ya utafutaji na uokoaji ya wapanda milima ya Uturuki, inayojumuisha watu 15 kutoka Ankara, Diyarbakir na Konya, iko macho.