Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Habana rafiki hata israeli ni Taifa rafiki na israeli
Azerbaijan na Israel hawana muunganiko mkubwa mkuu.
Azerbaijan ni mtoto wa Turkiye hiyo ardhi ya Azerbaijan ilikua sehemu ya Ottoman empire.
Mpaka sasa hata in administration issues Azer husaidiwa na Turkiye.
Kafuatilie mkuu.
Wewe unasemea Armenia.
 
Rais ameshakufa, na ndiye aliyekuwa anategemewa kuwa Ayatollah. Alikuwa anatumia helicopter ya August Bell AB212 iliyotengenezwa Texas USA mwaka 1978 na kuagizwa na Shah wa Iran kabla ya mapinduzi ya kiislamu; Shah alikuwa ameagiza helicopter hizo 10. Baada ya mapinduzi, nchi ikapigwa vikwazo kwa hiyo helicopter hizo zikawa hazipati vipuri. Jeshi la Iran likaamua kuupgrade helicopter 5 kwa ajili ya VIP na zile nyingine tano kwa ajili ya vipuri. Kutumika kwa vipuri duni kunaweza pia kuwa kumechangia
 
Watakuta Maiti tu. Hapa ndipo ninapowapendea Waisrael kwani ukiwachokoza padogo Wao huja Kumalizia pakubwa Kwako.
Israel haikuhusika kwasababu ndege ilitua kwanguvu kwa kupoteza muelekeo,haikulipuliwa ama kuhujumiwa kivyovyote.
Muwe mnatizama habari.
 
UNAIJUA FAILED COUP D'TAT ya wayahudi ya 1946 dhidi ya British Palestine mandate!??
Nijibu hapo👆👆👆🙌

Narudia kuukuliza unajua historia Mkuu? Inasikitisha.....Kabla ya kuandika just do a little research mkuu Kosugi, nyie ndio mnaoifanya unaifanya Jamii Forums ionekana ni ya ni ya watoto wa Darasa la Saba......! Kwa kukusaidia tu Just read some books of Ottoman rule over Palestine (1516-1918) Halafu nini kilitokea Wakati wa Mandate ya British!.....Kama ni mvivu unataka summary just, Google tu_ List of Killings and Massacres committed in Mandate Palestine, uone tense releationship between Arabs an Jews!

Hebu tusubiri waokoaji mkuu ! Hii ndio mada yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…