ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwa hiyo wote ambao walisha kufa hapa duniani walilichezea taifa teule?Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wote ambao walisha kufa hapa duniani walilichezea taifa teule?Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Good news but hope of survival is minimalWanajeshi wa Iran wamefanikiwa kupata signal ya simu ya rais
Azerbaijan na Israel hawana muunganiko mkubwa mkuu.Habana rafiki hata israeli ni Taifa rafiki na israeli
Yaani God bless Gays? HeeeeGod Bless Israel
Yaani Helicopter ianguke huko Milimani halafu apone Mtu? Waisraeli / Wayahudi hawajawahi kukosea kabisa Target zao.Good news but hope of survival is minimal
Qatar na Saudi Arabia nao wamepeleka msaada wa waokoaji na vifaa.Wameanza kuomba msaada
Ayatollah asibadilisha misimamo atafikiwa na yeyeHuyo sio Ayatollah,,,,huyo ni rais tu Ayatollah ndo anamuweka huyo madarakani
Unajifanya kusahau Nabii wako?Tito gani huyo ambaye ni nabii wangu..❗❓ Manabii kama wapo ni wa Mungu watakuwaje wangu tena.😛😛
Siasa za PR tu hapo wafikirie kuzika mabaki ya ndege tu. Huyo gaidi hapatikani.Qatar na Saudi Arabia nao wamepeleka msaada wa waokoaji na vifaa.
Watakuta Maiti tu. Hapa ndipo ninapowapendea Waisrael kwani ukiwachokoza padogo Wao huja Kumalizia pakubwa Kwako.Qatar na Saudi Arabia nao wamepeleka msaada wa waokoaji na vifaa.
Hata Uturuki iliiomba msaada Iran na mataifa mengine baada ya kupingwa na tetemeko la ardhi.Wameanza kuomba msaada
Siku zake nae zinahesabika Mkuu. Israel hawana Masihara na Wanaowachokoza.Ayatollah asibadilisha misimamo atafikiwa na yeye
Israel haikuhusika kwasababu ndege ilitua kwanguvu kwa kupoteza muelekeo,haikulipuliwa ama kuhujumiwa kivyovyote.Watakuta Maiti tu. Hapa ndipo ninapowapendea Waisrael kwani ukiwachokoza padogo Wao huja Kumalizia pakubwa Kwako.
Hata Uturuki iliiomba msaada Iran na mataifa mengine baada ya kupingwa na tetemeko la ardhi.Wameanza kuomba msaada
Israel haikuhusika kwasababu ndege ilitua kwanguvu kwa kupoteza muelekeo,haikulipuliwa ama kuhujumiwa kivyovyote.Watakuta Maiti tu. Hapa ndipo ninapowapendea Waisrael kwani ukiwachokoza padogo Wao huja Kumalizia pakubwa Kwako.
Mimi habari ninayoingojea ni Kusikia tu Mtu ameshaondoka Mazima duniani. Habari tazama na Mkeo na Mimi usinilazimishe.Israel haikuhusika kwasababu ndege ilitua kwanguvu kwa kupoteza muelekeo,haikulipuliwa ama kuhujumiwa kivyovyote.
Muwe mnatizama habari.
UNAIJUA FAILED COUP D'TAT ya wayahudi ya 1946 dhidi ya British Palestine mandate!??
Nijibu hapo👆👆👆🙌