Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Israel majibu yake ni ya kimyakimya wala huwezi kugundua!Yahudi hana mkono wake hapo mmeshaambiwa ni hali ya hewa mnakimbolia kusema yahudi,Hamasi tu anamtoa kamasi,pumzika Kwa amani kamanda
Muwe mnatumia akili japo kidogo.Duuuh,Israeli hana mkono wake hapo??
Unaweza ukatuambia israel anahusika vipi na hyo ajali?Israel majibu yake ni ya kimyakimya wala huwezi kugundua!
Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?Iran nchi kubwa dogo.kama ni hujuma wangejua na kama ni mipango ya mungu wangejua pia.hyo ni ajali kama ajali nyingine msiwape sifa ambazo hawana.
Yuko anakura mabikra 72Alale Pema Kamanda, Mwendo Ameumaliza
Sawa kaka mkubwa , hata Yusuph alikuwa mdogo na aliwahi kuwaambia kaka zake jambo hawakumwelewa ila walikuja kumwelewa jua linakaribia kuzamaIran nchi kubwa dogo.kama ni hujuma wangejua na kama ni mipango ya mungu wangejua pia.hyo ni ajali kama ajali nyingine msiwape sifa ambazo hawana.
Acha zako wewe,ni ajali kama.ajali zingine.Gombana na mwingine ila sio Yahudi ππππ
Eti lindege la miaka 70 nyuma linambeba rais alafu anataka kugombana na Israel! Ona sasa! Mxiuuuuuh!Sasa hilo swali ndo tunatakiwa kuwauliza wanausalama wanao husika na usalama wa rais inakuwaje wanaruhusu hilo litokee na sio kusingizia sijui vikwazo vya Marekani kwa sababu hata Iran yenyewe huwa inatengeneza hercopiter.
RipTaarifa za hivi punde:
Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Irani na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian.
Mabaki ya helikopta iliyopata ajali
View attachment 2994675
Kwa mujibu wa katiba ya Iran, makamu wa raisi Muhammad Mukhbar atakuwa raisi wa taifa hilo hadi siku 50 baadaye ambapo uchaguzi utafanyika wa kumchagua raisi mwingine.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Lizee la hovyo kabisaaa wewe πππ ngoja leo nikakuchangie kwenye logde yako nipo kahama nimepata kipozeoR.i.P Classmates....π₯
Juzkati tu tulionana kwenye TV ukitoa hotuba Raisi...πͺ
Famasiala na mmarekani na washirika wake ,Yahudi hana mkono wake hapo mmeshaambiwa ni hali ya hewa mnakimbolia kusema yahudi,Hamasi tu anamtoa kamasi,pumzika Kwa amani kamanda
Hapo unaizushia uongo Israel!Chezea Israel tena huone!
There are things that cannot be overcome by human intelligence. There is an inevitable scenario that creates the moment of oblivion that leads to such incidents and no one can be vilified because it's a devine wish designed to punish the wicked for the wrong doing.Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?
Kwanza unampelekaje Rais kwenye hali ya hewa mbaya namna ile tena kwa ki helikopta cha zamani?
Kuhusisha hyo ajali naa israel ni UJINGA WA KIWANGO CHA RAMI.israel hana uwezo wa kumuia rais wa iran.hata wao wanajua hili. Sasa msiwape sifa ambazo hawanaSawa kaka mkubwa , hata Yusuph alikuwa mdogo na aliwahi kuwaambia kaka zake jambo hawakumwelewa ila walikuja kumwelewa jua linakaribia kuzama
Hapa ndipo shida ilianza Huyo Azerbaijan President ni Mshirika wa Israel, yaani rafiki wa Adui yakoPresident Raisi travelled to northern Iran today to inaugurate a dam together with the President of Azerbaijan
The area can be extremely foggy and the weather conditions are not always suitable for helicopters