Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Iran nchi kubwa dogo.kama ni hujuma wangejua na kama ni mipango ya mungu wangejua pia.hyo ni ajali kama ajali nyingine msiwape sifa ambazo hawana.
Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?
Kwanza unampelekaje Rais kwenye hali ya hewa mbaya namna ile tena kwa ki helikopta cha zamani?
 
Iran nchi kubwa dogo.kama ni hujuma wangejua na kama ni mipango ya mungu wangejua pia.hyo ni ajali kama ajali nyingine msiwape sifa ambazo hawana.
Sawa kaka mkubwa , hata Yusuph alikuwa mdogo na aliwahi kuwaambia kaka zake jambo hawakumwelewa ila walikuja kumwelewa jua linakaribia kuzama
 
Mossad walishasema jana kwamba huyo rais amefariki. Iran iache kujifanya mwamba hawatafika wanajisumbua bure tu, eti wao ndio wanafadhili makundi ya kigaidi ili kuishambulia Israel.

If they persist, then definitely, similar situations will be a common place in the Persian state.
 
Sasa hilo swali ndo tunatakiwa kuwauliza wanausalama wanao husika na usalama wa rais inakuwaje wanaruhusu hilo litokee na sio kusingizia sijui vikwazo vya Marekani kwa sababu hata Iran yenyewe huwa inatengeneza hercopiter.
Eti lindege la miaka 70 nyuma linambeba rais alafu anataka kugombana na Israel! Ona sasa! Mxiuuuuuh!
 
Taarifa za hivi punde:

Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Irani na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian.

Mabaki ya helikopta iliyopata ajali
View attachment 2994675

Kwa mujibu wa katiba ya Iran, makamu wa raisi Muhammad Mukhbar atakuwa raisi wa taifa hilo hadi siku 50 baadaye ambapo uchaguzi utafanyika wa kumchagua raisi mwingine.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Rip
 
Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?
Kwanza unampelekaje Rais kwenye hali ya hewa mbaya namna ile tena kwa ki helikopta cha zamani?
There are things that cannot be overcome by human intelligence. There is an inevitable scenario that creates the moment of oblivion that leads to such incidents and no one can be vilified because it's a devine wish designed to punish the wicked for the wrong doing.
 
Sawa kaka mkubwa , hata Yusuph alikuwa mdogo na aliwahi kuwaambia kaka zake jambo hawakumwelewa ila walikuja kumwelewa jua linakaribia kuzama
Kuhusisha hyo ajali naa israel ni UJINGA WA KIWANGO CHA RAMI.israel hana uwezo wa kumuia rais wa iran.hata wao wanajua hili. Sasa msiwape sifa ambazo hawana
 
President Raisi travelled to northern Iran today to inaugurate a dam together with the President of Azerbaijan

The area can be extremely foggy and the weather conditions are not always suitable for helicopters
Hapa ndipo shida ilianza Huyo Azerbaijan President ni Mshirika wa Israel, yaani rafiki wa Adui yako
 
Back
Top Bottom