Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Lilikuwa ni Swala la Muda tu hawa ndgu zetu wa Kobazi tokea Iran Kucheza na Taifa Teule la Mungu Israel ona sasa wavaa kobazi wa Iran wanatolewa Kamasi😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ile ndege ya Malaysia ilipotea vipi?Ukubwa wa Irani uko wapi kama ndege ya iliyobeba Rais inapotea kijinga namna hiyo?
Kwanza unampelekaje Rais kwenye hali ya hewa mbaya namna ile tena kwa ki helikopta cha zamani?
................Lakini hawakuwahi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Israel..😢😢😛😛Hapo unaizushia uongo Israel!
Iran imeanza kuichezea Israel muda mrefu hata kabla ya Raisi kufa kwa ajali.
Raisi amekufa kwa wakati wake kama binadamu wengi wanavyokufa!
Tulijua koşa lake la kuamua kuishambulia Israel. Tushukuru Israel kwa kumuadabisha yeye badala ya kutuma madege na kuua wengi!Gombana na mwingine ila sio Yahudi 🙌🙌🙌🙌
Sasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.Lilikuwa ni Swala la Muda tu hawa ndgu zetu wa Kobazi tokea Iran Kucheza na Taifa Teule la Mungu Israel ona sasa wavaa kobazi wa Iran wanatolewa Kamasi😂😂😂
Mkuu mi nilijua tu ndo kinachofataKafariki dunia
Hata mimi nilipoiona hii habari jana nilijua hili litatokea. Tofauti na ajali nyingine, uwezekano wa kupona kwenye sector ya anga hua ni mdogo sanaMkuu mi nilijua tu ndo kinachofata
Kwa hiyo unataka kabisa ndgu yangu watu watoe mpaka siri za mifumo ya kiintelijensia nchini kwao? au waanike siri zao kama komando wenu muuza madafu Never happen in this World!Sasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.
Angalia hata utafutaji wake hivi kweli kama walianguka na wakapona wakahitaji msaada wa haraka kwa muda wote huo waliotumia kuwatafuta si watakuta wamekufa kabisa dah huu msiba.Hata mimi nilipoiona hii habari jana nilijua hili litatokea. Tofauti na ajali nyingine, uwezekano wa kupona kwenye sector ya anga hua ni mdogo sana
"Hard landing" chopper lililazimishwa kushuka chini! Chezea tena!Hii ndio Update few minutes....Aljazeera...
By Ted Regencia
Published On 19 May 202419 May 2024
Click here to share on social media
- Iran’s President Ebrahim Raisi and Foreign Minister Hossein Amirabdollahian on board the helicopter that suffered a “hard landing” in Iran’s East Azerbaijan province, says Iranian state media.
- Adverse weather conditions, including heavy fog, are hampering rescue efforts and the helicopter is still missing.
Sio kwa ile milima chief ...pori zioto .....wamepewa msaada na drone za turkey kui locateSwala la uokoaji kumbe sio gumu hapa kwetu tu, yani hadi kumepambazuka ndio wameweza kufika eneo la tukio pamoja na kutumia chopper za night vision.
Tunazungumzia Taifa kubwa la Iran 🐼Kwani ile ndege ya Malaysia ilipotea vipi?
AbsolutelyKwanini Helikopta ya kutengenezewa ya Marekani ilitumika kwa Rais??
Karibu sana mkuu, kwetu sisi mteja ni zaidi ya mfalme..😊Lizee la hovyo kabisaaa wewe 😂😂😂 ngoja leo nikakuchangie kwenye logde yako nipo kahama nimepata kipozeo
Watathibitisha Iran wenyeweSasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.
Bado mwenye picha unayotumiaUislamu hauwezi kurudi nyuma hata hapa kwenu Magufuli alikufa ila hapakuwa na haja ya kuleta udini, hii ndio chuzi zenu wapakwa mafuta sasa unajionyesha 😀 😀
Correction, overcame sio overcome. Kifo/matatizo sio adhabu kwa watenda maovu.There are things that cannot be overcome by human intelligence. There is an inevitable scenario that creates the moment of oblivion that leads to such incidents and no one can be vilified because it's a devine wish designed to punish the wicked for the wrong doing.