Ukungu,mvua au mawingu pekee sio issue kabisa kwa ndege au helcopter kupaa,ishu ni dhoruba,upepo mkali.Hivi kama Kuna ukungu na ndege/helikopta isionekane kwenye radar ndio inaanguka? Si rubani anabaki anazunguka huko Juu ama zinaruka jirani sana na Ardhi kiasi Cha kugomga milima?
Atakaye ilaani Israel atalaaniwa na atakayeibariki atabarikiwa.BREAKING
IRNA confirmed that President Raisi was on board the helicopter and that rescue teams had yet to determine the location of the accident due to poor weather conditions.
Utakuwa ni uzembe pro maxHelicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.Helicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂
No that's not what happened, the president of Iran and crew men saw ghost in sky and wish to have a meeting1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekee
2. Hizo mbili hazikuwa za zamani na zilifanyiwa service ndani ya muda?
Masaa zaidi ya 16 wanatafuta helicopter ya Rais. Drone ya Uturuki ikaingia kati kazi ikaisha haraka
Huyo Huwa Ana Kauli Za Ajabu Aja,Anaweza Tangaza Vita Na YoyoteBado statement ya Ayatollah haijatoka!
Supreme Leader 🐼
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.
Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.
Uko sahihi mkuu.Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa
Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
Ebrahim Raisi Alikuwa Anakagua Mabwawa Sasa Kuna Ukungu Wao Wanasema Kauwawawakiristo wengi akili zao ndogo. hivi sasa ndio naamini
Ninavyojua vikwazo vinahusu nchi za magharibi,mashoga zao Urusi na Nkorea,hawawezi zuiwa na mtu kushirikiana na swahiba wao.Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Islam DiniWakiristo wa jf watu ajabu snaa. wanaroho ya kutisha katika nafsi zao
Hawa jamaa inasemekana wapo advanced sana kwenye technology hasa ya kutengeneza vifaa vya kivita kama mabomu...ila kwenye vifaa vya anga kama ndege wanasingizia vikwazo walivyowekewa ndiiyo vimesababisha ndege zao kuwa chakavu kwa kukosa spare...kiukweli nawaona wapo overrated , ni wepesi sana
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.
'Israel behind the copter crash that killed Iran president Raesi, others": Itar Tass reported
Mzee wa hard na soft landing.. umepiga porojo na propaganda usiku mzima dah watu mna mioyo