Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Hivi kama Kuna ukungu na ndege/helikopta isionekane kwenye radar ndio inaanguka? Si rubani anabaki anazunguka huko Juu ama zinaruka jirani sana na Ardhi kiasi Cha kugomga milima?
Ukungu,mvua au mawingu pekee sio issue kabisa kwa ndege au helcopter kupaa,ishu ni dhoruba,upepo mkali.

Hali ambayo huwa haitabiriki.
 
BREAKING

IRNA confirmed that President Raisi was on board the helicopter and that rescue teams had yet to determine the location of the accident due to poor weather conditions.
Atakaye ilaani Israel atalaaniwa na atakayeibariki atabarikiwa.
 
Kobaz effect.
Rais kapanda helicopta. Helcopta imeanguka. Helcopta ilioambatana nae imefika salama. Hali mbaya ya hewa wanausalama hawakuona hali ya hewa ni mbaya. ? Ok ilikua alipotoka nje ya taifa lake
Kama makamnda wakuu wanauwezo wa kuuawa ndani ya tehran kwa nn asiwezwe raisi.
Kisasi cha israel hiko amna haja ya kuficha.
 
Helicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.

Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.
 
1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekee
2. Hizo mbili hazikuwa za zamani na zilifanyiwa service ndani ya muda?
No that's not what happened, the president of Iran and crew men saw ghost in sky and wish to have a meeting
 
Makamu wa Rais Mohammad Mokhber atachukua mamlaka baada ya kifo cha Raisi. Kwa mujibu wa katiba ya Iran, iwapo rais atafariki au kutoweza, makamu wa kwanza wa rais atachukua hatamu hadi uchaguzi ufanyike ndani ya siku 50.
 
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.

Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.

Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
 
Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa

Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
Uko sahihi mkuu.
 
Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Ninavyojua vikwazo vinahusu nchi za magharibi,mashoga zao Urusi na Nkorea,hawawezi zuiwa na mtu kushirikiana na swahiba wao.

Ama kweli wanasema vita sio nzuri kutumbukia,isipokuacha na vidonda,itakuacha na aibu.
 
'Israel behind the copter crash that killed Iran president Raesi, others": Itar Tass reported
 
Hawa jamaa inasemekana wapo advanced sana kwenye technology hasa ya kutengeneza vifaa vya kivita kama mabomu...ila kwenye vifaa vya anga kama ndege wanasingizia vikwazo walivyowekewa ndiiyo vimesababisha ndege zao kuwa chakavu kwa kukosa spare...kiukweli nawaona wapo overrated , ni wepesi sana

Mkuu wako overratted mno! Hiyo Helicopter ni Bell 212....za miaka ya 1968, hivyo alivyokimbia Shah zilikuwepo! Kwa nini Rais apandishwe kwenye Helicopter chakavu! Spares shida toka US, kwa nini hawezi kununua hata kutoka China? Akili yao yote kwenye silaha kuwaondoa Wayahudi.......chuki ndio inasukuma nchi...!
 
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.

Mzee wa hard na soft landing.. umepiga porojo na propaganda usiku mzima dah watu mna mioyo
 
Back
Top Bottom