mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Ukungu,mvua au mawingu pekee sio issue kabisa kwa ndege au helcopter kupaa,ishu ni dhoruba,upepo mkali.Hivi kama Kuna ukungu na ndege/helikopta isionekane kwenye radar ndio inaanguka? Si rubani anabaki anazunguka huko Juu ama zinaruka jirani sana na Ardhi kiasi Cha kugomga milima?
Hali ambayo huwa haitabiriki.