Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Sio anapigiwa kura ?Iran ni nchi inayoendeshwa kiislam,huyo Ayatollah ni sheikh mkuu,ambaye pia ni mkuu wa nchi,aliyekufa ni rais kiongozi wa shughuli za serikali.
Na jukumu la kumteua rais ni la huyo Ayatollah.
Muulize wale Engineer wa Nyuklia wa Iran walikuwa wanauliwa TehranKwa hiyo unataka kabisa ndgu yangu watu watoe mpaka siri za mifumo ya kiintelijensia nchini kwao? au waanike siri zao kama komando wenu muuza madafu Never happen in this World!
Ndivyo walivyokuambia ??Mossad wameobdoka na kichwa cha Rais na Waziri?.
Unawapenda sana wayahudi eeHelcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Hiyo Chopa imetunguliwa na Drone angalia ilivyoteketea.ambapo hakuna aliyenusurika kwenye ajali hiyo.
Ni wajinga, halafu walivyo wapuuzi wanapiga picha kwenye media, eti ziara, Trump alimla kichwa Sukeiman hivi hivi na drone pale Iraq, wakatuma tubomu kwenda Iraq kwenye military base ikawa imeisha hivyo, general mkubwa kama yule anauawa unaenda kupiga vyuma eti unaonyesha hauna unyonge, maisha ya mtu kama yule na mchango wako kwenye jeshi, wananchi na nchi ya Iran kifo chake cha kikatili unarusha tukombora tena unawaambia eti nashambulia, askari wote wakaingia kwenye mahandaki, kama si u$3ng3 ni nini?Ayatollah ni kiongozi mkuu, kama alivyokuwa
Mkuu mbona umechafukwa hivi,
Hao jamaa ni wazembe sana,
kuna mdau humu amesema hiyo chopa hata Nape asingekubali kuipanda,
View attachment 2994843
Good riddance kwanza yule alikuwa Bacha Bazi mpenda kugonga tuzi za Watoto.
unacheza wewe!!! bikra 72 utapata kweli mda wa kupumzika?Apumzike wa amani
Sio kwamba Kilemba kimeshika moto kimechoma kichwa?Mossad wameobdoka na kichwa cha Rais na Waziri?.
Ni LGBTQ+-# mwenzaoUnawapenda sana wayahudi ee
Kusema Ayatula ni Bacha Bazi umekuwa triggered 😆
Unawapenda sana wayahudi ee
Kabisa mkuu, yaani ukijisahau tu wanakula kichwa.Inashangaza sana, tena Russia ni rafiki yao na ni mtemi anaweza hata kubeba hizo military equipment na kuwapelekea either na manowari au na zile cargo Antonov au hata zikatembea hapo kuelekea Iran with Russia military escort.
Rais anatembea maeneo hatarishi hakuna hata escort planes hata mbili angani, kifupi alikuwa vulnerable to be attacked na maadui zake, USA na Israel ukishakuwa na uadui nao kiasi cha uadui wa level na Iran ujue wako vitani na wewe muda wote na kinachotafutwa ni the right time for elimination.
Ukiachana na mambo mengine.. Nape hawezi kupanda ndege kama ya Huyo Rais wa Iran . Mjanja sana Nape..😁Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.
Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.
Haijathibitika kama kauawa.
3 body problemIzrael wametumia nanotechnology
Mkuu,Hii Wairan wameshaandaliwa kisaikolojia, huyo Rais ni dead body, na anaweza kufa kwa kukosa msaada wa haraka.
Inashangaza mimi maroli yangu nayaona kwenye GPS yanakwenda Rwanda, lakini cha ajabu kinchi kinachojifanya kiko more advance kumbe hata kutrace chopa hawawezi kazi ya kibri tu, shwaini.