Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Msisahau Russia anaendelea na SMO kule ukraine. Vijiji na mitaa inazidi kuchukuliwa kwenye jimbo la kharkiv.

Uraaaah
 
Ayatollah na vikosi vyake amenishangaza sana, yaani Wana uwezo wa kurusha mamia ya makombora na drones kwenda Israel ila kurusha drone ku locate ajali ilipotokea mpaka wasaidiwe na uturuki? Wanaishia kupelekea ambulance karibu mia 200 msituni Bure kabisa haya majamaa.
 
Nilimtizama Putin anaingia China na ile jet yake hapa juzi, yaani jamaa alivyoingia pale ulinzi ulikua si wa kitoto, escort ya kufa mtu pande zote walinzi wametapakaa na attention kwa chochote, nikasema kweli wapo serious.

Iran nakubali kuna mahala ni wazuri kwenye missiles tech n.k lakini kwenye usalama wa top officials wao jamaa hawapo serious kabisa.

Kifo cha General Suleiman, jamaa alipanda ndege ya abiria utasema raia anakwenda kwenye utalii.
Wanausalama wanashindwa kumuongoza mtu mkubwa kama yule na kumkataza asipande public transport.

Jamaa wa ajabu sana.

Kwa swali lako.
Jamaa hawapo serious kabisa na usalama wa viongozi wao hili lipo wazi.
Lakini ndio fundisho.
Mifumo tu ya ile nchi ni upinzani mtupu watu ndani ya vitengo wamegawanyika sana kiitikadi wengi hawapendi ule Mfumo wa kiayotola sema tu wanatii kwa shingo upande just imagine yale mauaji na manyanyaso ya waandamanaji unadhani waliodhurika ni kina nani si ndugu zao kabisa wa huko mitaani?
Kiufupi leo mitaa yote ya Iran kuna sherehe na Sio msiba maana Mwendawazimu kaenda jitwalia Mabikira 70 kama alivyowafanya wenzie!
 
Imejulikana ilipo kwa kuonwa na drone ya Uturuki iliyokuwa na night vision camera. Hao Wairan walitumia massage zaidi ya 16 kuitafuta wakati drone ya Uturuki ilikuja usiku
Hayo masaa 16 yamepatinaje hali ya kuwa helicopter ilitoweka saa 11 za jioni na ikajulikana ilipo saa 4 za usiku?
Alafu likicho rahisisha kupatika kwa eneo la tukio ni simu iliyo trackiwa kupitia Satalaiti na sio drone.
 
WAKIRSTO NA WASIOKUWA WAISLAM BAADA YA KUFA
  • Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
  • Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
  • Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
  • Majuto na Masikitiko:
    • Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
  • Ukosefu wa Msaada:
    • Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
Umedanganywa na Shehe fulani.
 
WAISLAM
"Hivyo ndivyo itakavyokuwa; na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho makubwa mazuri." (Qur'ani 44:54)

Pia katika Surah Al-Tur, Aya ya 20, inasema:

"Wakiwa wameegemea katika viti vya enzi vilivyopangwa safu. Na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho mazuri makubwa." (Qur'ani 52:20)

WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM

    • Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
    • Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
    • Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
  • Majuto na Masikitiko:
    • Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
  • Ukosefu wa Msaada:
    • Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
Naona unamuhubiri Mnyazi Mngu mwingi wa rehema 😂😂😂
 
"We Jewish community, once we cry take care!
Shalum Shalum,
SEFER MATTAI,
Hallelujah!
 
Kabisa mkuu, yaani ukijisahau tu wanakula kichwa.

Helicopter ile haina tofauti na ile ya Mbowe anayofanyia kampeni.

Haya achana na Russia China mbona kwenye aircrafts tech wapo mbali, wanashindwa pia kutumia ndege zao.

Jamaa wanashangaza sana, kiukweli hata proxies wao hapo middle east wataona ni wajinga.
They could've just flown after the weather became clear.

A lot of people died flying in adverse weather conditions.

Even US Military Aircrafts with no sanctions crash during adverse weather conditions.

Trying to make things happen under any condition will always result in the chance of something going fatally wrong.
 
Ujasusi mzuri ni kufanya tukio na kufuta viashiria vyovyote vya kuhusika. Hivyo ukiafanikiwa unaweza kumaliza nchi zima ukiacha watuhumiana na kulaumiana wakati wewe unakula kuku kwa mrija.

Siamini kama ni ajali ya kawaida. Hadi ripoti ya uchunguzi wa kina sana ifanyike. Inataka kufanana na ile ya mzee Prigo wa Urusi. Sema hii inadhaminiwa na hali mbaya ya hewa. Hapo lazima wazame kwa kina zaidi ili kutoa taarifa ya kitaalam inayozingatia uwezekano wote wa hujuma kwenye ajali hiyo.
 
Kuhusisha hyo ajali naa israel ni UJINGA WA KIWANGO CHA RAMI.israel hana uwezo wa kumuia rais wa iran.hata wao wanajua hili. Sasa msiwape sifa ambazo hawana
Mbona yule mkuu wa Jeshi wa Iran alitunguliwa akiwa Iraq?. Sasa Kama mkuu wa Jeshi anatunguliwa ije iwe Rais?. Tena kwenye ukungu?. Israel mashujaa.
 
Back
Top Bottom