Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
"Target acquired" "Target Confirmed"Hiyo Chopa imetunguliwa na Drone angalia ilivyoteketea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Target acquired" "Target Confirmed"Hiyo Chopa imetunguliwa na Drone angalia ilivyoteketea.
Mifumo tu ya ile nchi ni upinzani mtupu watu ndani ya vitengo wamegawanyika sana kiitikadi wengi hawapendi ule Mfumo wa kiayotola sema tu wanatii kwa shingo upande just imagine yale mauaji na manyanyaso ya waandamanaji unadhani waliodhurika ni kina nani si ndugu zao kabisa wa huko mitaani?Nilimtizama Putin anaingia China na ile jet yake hapa juzi, yaani jamaa alivyoingia pale ulinzi ulikua si wa kitoto, escort ya kufa mtu pande zote walinzi wametapakaa na attention kwa chochote, nikasema kweli wapo serious.
Iran nakubali kuna mahala ni wazuri kwenye missiles tech n.k lakini kwenye usalama wa top officials wao jamaa hawapo serious kabisa.
Kifo cha General Suleiman, jamaa alipanda ndege ya abiria utasema raia anakwenda kwenye utalii.
Wanausalama wanashindwa kumuongoza mtu mkubwa kama yule na kumkataza asipande public transport.
Jamaa wa ajabu sana.
Kwa swali lako.
Jamaa hawapo serious kabisa na usalama wa viongozi wao hili lipo wazi.
Lakini ndio fundisho.
Hayo masaa 16 yamepatinaje hali ya kuwa helicopter ilitoweka saa 11 za jioni na ikajulikana ilipo saa 4 za usiku?Imejulikana ilipo kwa kuonwa na drone ya Uturuki iliyokuwa na night vision camera. Hao Wairan walitumia massage zaidi ya 16 kuitafuta wakati drone ya Uturuki ilikuja usiku
acha upotoshaji, HALI MBAYA YA HEWA WAS A CASE!Taarifa za ndani za hivi zinasema,"Deal done"!
(Azerbaijan + Israel) vs Iran
Nyie endeleeni kushindana na Israel...MtaishaBREAKING
Military drones took off to determine the exact location of President Raisi's helicopter.
Au yeye Mzee Ayatula ndio kazama chumvini ×73 hizo ndevu si zitakuwa zinanukia K.Ina maana jamaa anapatiwa massage hivi sasa?
Umedanganywa na Shehe fulani.WAKIRSTO NA WASIOKUWA WAISLAM BAADA YA KUFA
- Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
- Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
- Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
- Majuto na Masikitiko:
- Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
- Ukosefu wa Msaada:
- Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
Naona unamuhubiri Mnyazi Mngu mwingi wa rehema 😂😂😂WAISLAM
"Hivyo ndivyo itakavyokuwa; na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho makubwa mazuri." (Qur'ani 44:54)
Pia katika Surah Al-Tur, Aya ya 20, inasema:
"Wakiwa wameegemea katika viti vya enzi vilivyopangwa safu. Na tutawaozesha na wale wanawake wenye macho mazuri makubwa." (Qur'ani 52:20)
WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM
- Maji ya Moto na Usaa: Watu wa Motoni watalazimika kunywa maji ya moto na usaha, ambayo yatakuwa ni mateso makubwa kwao.
- Njaa na Kiungulia: Watakumbwa na njaa na kiungulia ambavyo havitazimwa kwa chakula au kinywaji chochote. Katika Surah Al-Ghashiyah, Aya ya 6-7, inasema:"Hawatakuwa na chakula ila mti wenye miiba. Hautanenepesha wala hautashibisha njaa." (Qur'ani 88:6-7)
- Nguo za Moto: Watu wa Motoni watavishwa nguo za moto, kama inavyosemwa katika Surah Al-Hajj, Aya ya 19:"Hizi ni sehemu mbili zenye kugombana, ambazo ziligombana kuhusu Mola wao Mlezi. Basi wale waliokufuru watakatwa nguo za moto, na juu ya vichwa vyao yatamiminwa maji yenye kuchemka." (Qur'ani 22:19)
- Majuto na Masikitiko:
- Watu wa Motoni watajuta kwa kutokufuata mwongozo wa Mwenyezi Mungu na watakuwa na masikitiko makubwa kwa yale waliyoyafanya duniani. Katika Surah Al-Mulk, Aya ya 10, inasema:"Na walisema: Lau tungelisikia au tungelitafakari, tusingelikuwa katika watu wa Moto wa Jahannam." (Qur'ani 67:10)
- Ukosefu wa Msaada:
- Watu wa Motoni hawatapata mlinzi wala msaidizi. Watakuwa peke yao katika mateso yao. Katika Surah Al-Baqarah, Aya ya 86, inasema:"Hao ndio walionunua maisha ya duniani kwa Akhera, basi adhabu yao haitapunguzwa, wala hawatanusuriwa." (Qur'ani 2:86)
They could've just flown after the weather became clear.Kabisa mkuu, yaani ukijisahau tu wanakula kichwa.
Helicopter ile haina tofauti na ile ya Mbowe anayofanyia kampeni.
Haya achana na Russia China mbona kwenye aircrafts tech wapo mbali, wanashindwa pia kutumia ndege zao.
Jamaa wanashangaza sana, kiukweli hata proxies wao hapo middle east wataona ni wajinga.
Itakuwa umemnyonga askofu wako ,unajifanya kumkataa munguWakati mnawachinja Wakristo huko Libya Nigeria na Janjaweed Arab Millitia ikiuwa ndugu zetu Waafrika huko Darfur huwa ni heshima kwa Isa bin Mariam?
Itakuwa umemnyonga askofu wako ,unajifanya kumkataa mungu
View: https://youtube.com/shorts/kfzh11Yiq7g?si=U3bU-C9gTw8BE8c3
Mbona yule mkuu wa Jeshi wa Iran alitunguliwa akiwa Iraq?. Sasa Kama mkuu wa Jeshi anatunguliwa ije iwe Rais?. Tena kwenye ukungu?. Israel mashujaa.Kuhusisha hyo ajali naa israel ni UJINGA WA KIWANGO CHA RAMI.israel hana uwezo wa kumuia rais wa iran.hata wao wanajua hili. Sasa msiwape sifa ambazo hawana
Wathibitishe Nini wakati wamemuua?. Watu wanagonga cheers kwa kufanikisha mission.Sasa kama kweli israel kidume.waambieni wathibitishe kuwa wao ndo wamemuua rais.