Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Sasa wametumwa wakapigane au? Mna mbwembwe sana nyie maamuma huku hamna lolote. Ukisoma.humu JF jinsi waajemi wa kisiwandui mnavyoisifia Iran unaweza jua kuwa ni bonge la nchi kumbe ni sawa na Somalia tu. Jamaa wapo zama za Ujima na Wameshindwa hata kufanya matazamio ya hali ya hewa kwa ajili ya kiongozi mkubwa wa nchi.

Sisi wazigua tu hatuwezi ruhusu ziara ya Bi. Kizimkazi bila kuwa na uhakika wa hali ya hewa.
Leo ndo nimejua Iran mchumba tu
 
Alimwacha aingie ili awamalize Hamas

Waliokufa hao elfu moja walitolewa kafara ili Israel ili apate justification aue maelfu ya wapalestina aendeshe genocide na kuhakikisha Hamas wanapotea

Wangewezaje ku justify vita ya kuua vi Hamas na vimke vyao na vitoto vyao ambavyo ndio wanavirithisha kuwa vigaidi vya kesho

Waliacha mlango wazi wapate sababu ya kuendesha genocide Gaza

Wale waisrael wamekufa na kutekwa na Hamas wametumika kama kafara au chambo Cha kuipa Israel sababu ya kuendesha genocide ya wapalestina Gaza
Unaongea UFALA GANI WE JAMAA!?
Viongozi wameshikana ugoni kisa oktoba 7 wewe unadai kuwa ulikua mchezo wa scape goat!?
Hivi uliona jinsi Israel ilivyopata mpasuko katika serikali yake kisa oktoba 7!?
Wagalatia sijui mtaacha lini kuropoka.
 
Iran's state media reported a "hard landing" of a transport helicopter carrying President Ebrahim Raisi.

On board were also the Foreign Minister, the Governor of East Azerbaijan Province, and other high-ranking officials.

Rescue services have been dispatched to the presumed landing site. The operation is complicated by weather conditions.
e63742b4-722e-484f-8a4a-ff273db4e03a.jpg
 
Mkuu naweza sema mjinga ni wewe.
Hilo eneo la huo ukanda siku zote huwa na hali ya ukungu kwa takriban mwaka mzima.
Pia hizo sehemu kama unataka upite salama na usafiri wa anga labda upae kwa higher altitude.
Kiufupi hilo eneo nature yake SI SALAMA SANA KWA USAFIRI WA HELICOPTER.
Na helikopta imeangukia msituni,na hilo eneo la msitu linalosemekana kuna deep cliffs.
Sasa walifuata nini tena na helcopter 🤣🤣
 
Hii Wairan wameshaandaliwa kisaikolojia, huyo Rais ni dead body, na anaweza kufa kwa kukosa msaada wa haraka.

Inashangaza mimi maroli yangu nayaona kwenye GPS yanakwenda Rwanda, lakini cha ajabu kinchi kinachojifanya kiko more advance kumbe hata kutrace chopa hawawezi kazi ya kibri tu, shwaini.
Hata Tz E1 akiwa anaruka wanazima transponder, ukitaka uamini siku ndege inapaa jaribu track 5HONE au 5HTCB hutaiona bali utaiona ikishatua
 
Back
Top Bottom