imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wote ni Punda na Masikio yake.Tofautisha
1. Ayatollah - Top in command (Mkuu wa nchi),
2. Raisi - 2nd in command (anateuliwa na Ayatollah).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni Punda na Masikio yake.Tofautisha
1. Ayatollah - Top in command (Mkuu wa nchi),
2. Raisi - 2nd in command (anateuliwa na Ayatollah).
Rais wa Iran anachaguliwa kwa uchaguzi.Tofautisha
1. Ayatollah - Top in command (Mkuu wa nchi),
2. Raisi - 2nd in command (anateuliwa na Ayatollah).
Iran kwenye hili nadhani watarudisha majeshi nyuma maana sasa wanaona mwisho wa Taifa laoSasa hivi ni giza Iran na bado Mzoga wa Ayatolah haujapatikana.
AMANI inarejea Mashariki ya Kati.
Leo ndo nimejua Iran mchumba tuSasa wametumwa wakapigane au? Mna mbwembwe sana nyie maamuma huku hamna lolote. Ukisoma.humu JF jinsi waajemi wa kisiwandui mnavyoisifia Iran unaweza jua kuwa ni bonge la nchi kumbe ni sawa na Somalia tu. Jamaa wapo zama za Ujima na Wameshindwa hata kufanya matazamio ya hali ya hewa kwa ajili ya kiongozi mkubwa wa nchi.
Sisi wazigua tu hatuwezi ruhusu ziara ya Bi. Kizimkazi bila kuwa na uhakika wa hali ya hewa.
Unaongea UFALA GANI WE JAMAA!?Alimwacha aingie ili awamalize Hamas
Waliokufa hao elfu moja walitolewa kafara ili Israel ili apate justification aue maelfu ya wapalestina aendeshe genocide na kuhakikisha Hamas wanapotea
Wangewezaje ku justify vita ya kuua vi Hamas na vimke vyao na vitoto vyao ambavyo ndio wanavirithisha kuwa vigaidi vya kesho
Waliacha mlango wazi wapate sababu ya kuendesha genocide Gaza
Wale waisrael wamekufa na kutekwa na Hamas wametumika kama kafara au chambo Cha kuipa Israel sababu ya kuendesha genocide ya wapalestina Gaza
Huo nao unaita uchaguzi sasa? Una tofaut gani na hayo maigizo ya hapo Tungekinya.Rais wa Iran anachaguliwa kwa uchaguzi.
Ayatollah anaweza kumkataa
Taifa linalotikisa mashariki ya kati unaliita mchumba!?Leo ndo nimejua Iran mchumba tu
True,ila sio the Jews,the Khazarian Mafia.The jews
Hawana tofaut na ZanzibarTaifa linalotikisa mashariki ya kati unaliita mchumba!?
Sasa walifuata nini tena na helcopter 🤣🤣Mkuu naweza sema mjinga ni wewe.
Hilo eneo la huo ukanda siku zote huwa na hali ya ukungu kwa takriban mwaka mzima.
Pia hizo sehemu kama unataka upite salama na usafiri wa anga labda upae kwa higher altitude.
Kiufupi hilo eneo nature yake SI SALAMA SANA KWA USAFIRI WA HELICOPTER.
Na helikopta imeangukia msituni,na hilo eneo la msitu linalosemekana kuna deep cliffs.
Tusubiri.Hakuna taarifa ya kifo mkuu
Hujielewi mkuu au huijui Iran.Hawana tofaut na Zanzibar
Aliepata ajali sio Ayatollah 😃😃😃. Na Ayatollah sio raisi wa Iran.Wahouthi wanalia na kusaga meno Sponsor wao kafa.
Hata Tz E1 akiwa anaruka wanazima transponder, ukitaka uamini siku ndege inapaa jaribu track 5HONE au 5HTCB hutaiona bali utaiona ikishatuaHii Wairan wameshaandaliwa kisaikolojia, huyo Rais ni dead body, na anaweza kufa kwa kukosa msaada wa haraka.
Inashangaza mimi maroli yangu nayaona kwenye GPS yanakwenda Rwanda, lakini cha ajabu kinchi kinachojifanya kiko more advance kumbe hata kutrace chopa hawawezi kazi ya kibri tu, shwaini.