Nakubaliana na wewe. 😁Unaweza pia kukuta wafuasi wa CHADEMA wanamshabikia Putin, Xi, Kiduku na Raisi huku wafuasi wa CCM wanamshabikia Zelenskyy na Biden!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe. 😁Unaweza pia kukuta wafuasi wa CHADEMA wanamshabikia Putin, Xi, Kiduku na Raisi huku wafuasi wa CCM wanamshabikia Zelenskyy na Biden!
Hakuna fisi huko??It’s now getting dark in the area where Iranian President Raisi’s helicopter crashed.
The crash site has still not been found.
Ukiwasikiliza washabaki wa iran utajua iran iko level za juu mno kumbe badooooo leo hii anamuomba umoja wa ulaya amsaidie kwenye issue za satellite ili kuokoa yaani hakuomba msaada kwa wenzake russia, n.korea au china, dah kweli ukweli ni ukweli tu ukikataliwa leo daima ipo siku utajionyesha tu.Mkuu
Mbona Wanasema Iran Ni Taifa Linalojimudu Mpaka Kwenye Technology Sasa Imekuwaje Atumie Kuukuu
Wangaliitumia Gaza walikobakia kuuwa wanawake na watotoIzrael wametumia nanotechnology
Helicopter sijui kwanini wanazipenda hiviHawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.
Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.
Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
SawaTaifa La Iran Lenyewe
Wakati wanawake na watoto wanauliwa hivi hamas huwa wapo wapi? kuwalinda wasiuwawe?Wangaliitumia Gaza walikobakia kuuwa wanawake na watoto
Bahati mbaya ni Ayatollah mdogo, ingekuwa yule supreme ingekuwa shereheInasemekana mwili wa Ayatolah umeliwa na Chui wa Milimani maana wamekosa Mwili wameambulia Kilemba tu.
Yule nao atajaa tu kwenye Nyavu.Bahati mbaya ni Ayatollah mdogo, ingekuwa yule supreme ingekuwa sherehe
Kwani yangemkuta Nabii wako Tito pangetosha?Hizi dini za hapa duniani ni shida sana, ingekuwa ni Netanyahu ndio yamemkuta hayo hapangetosha hapa kwa hao wanaohusudu utamaduni wa kiarabu.
Rais wa iran bwana Rais haziivi sana na ayatollah aka gaidi
Inawezekana bwana ayatollah amemtungua
Tumwombee apatikane hai kwasababu uhai ni zawadi
AminaaaaYule nao atajaa tu kwenye Nyavu.
Tuliwaambia kuwa haijaisha hadi imeishaMhhhh
Hapa kuna wa Israel kabisaa
Unajua maana ya kuwa overrated?Ukiwasikiliza washabaki wa iran utajua iran iko level za juu mno kumbe badooooo leo hii anamuomba umoja wa ulaya amsaidie kwenye issue za satellite ili kuokoa yaani hakuomba msaada kwa wenzake russia, n.korea au china, dah kweli ukweli ni ukweli tu ukikataliwa leo daima ipo siku utajionyesha tu.
🤣🤣🤣🤣Bahati mbaya ni Ayatollah mdogo, ingekuwa yule supreme ingekuwa sherehe
🤣🤣🤣Naona kwenye Uzi wa Ukraine umechapa rapa baada ya kipondo Cha vidume vya Russia