Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Mkuu
Mbona Wanasema Iran Ni Taifa Linalojimudu Mpaka Kwenye Technology Sasa Imekuwaje Atumie Kuukuu
Ukiwasikiliza washabaki wa iran utajua iran iko level za juu mno kumbe badooooo leo hii anamuomba umoja wa ulaya amsaidie kwenye issue za satellite ili kuokoa yaani hakuomba msaada kwa wenzake russia, n.korea au china, dah kweli ukweli ni ukweli tu ukikataliwa leo daima ipo siku utajionyesha tu.
 
Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.

Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.

Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Helicopter sijui kwanini wanazipenda hivi
Mwaka 2013 kulikuwa na mchina mmoja billionaire alienda France kununua shamba la mizabibu vineyard la ekari 65 pamoja na castle moja matata ndani ya shamba hilo
Billionaire mfaransa mwenye shamba hilo akamwambia twende nikutembeze kuangalia shamba lako, basi jamaa mchina na mfaransa wakapanda helicopter wakamchukua na mtoto wa mchina ila mke wake alikataa akasema anaogopa helicopter na kubaki mjengoni
Pilot alikuwa mwenyewe Mfaransa ilipopaa tu mda kidogo ikaanguka na kuwaka moto

Kwa hiyo mkuu helicopter hata iwe mpya ajali zake ni ghafla sana
Unaweza kujisomea habari ile nimeikumbuka tu
Hata yule mcheza basketball pia daa
Helicopter nuksi
Screenshot_20240519_193727_Chrome~2.png
 

What does 'hard landing' mean?​

7282f3ee-bee6-413c-8ef4-0de035421bf0.jpg

Will Vernon
Reporting from Washington DC
Iranian state media have used the phrase "hard landing" to describe the reported crash of the Iranian President’s helicopter.
Hard landing is a phrase often used by authorities in Russia to describe incidents when aircraft crash. It is commonly used by the Russian Defence Ministry when reporting incidents with military aircraft.
For example, in June 2022 an Il-76 military cargo plane crashed in Russia’s Ryazan region, killing five service personnel on board. The Russian military initially described the incident as a hard landing, despite the fact that the aircraft was almost completely destroyed on impact.
Analysts say the word "crash" is avoided by Russian officials due to fears it can cause upset or panic. This is called newspeak, and other examples include calling an explosion a “bang” and a death of a soldier “an unidentified absence from a military unit".
 
Ukiwasikiliza washabaki wa iran utajua iran iko level za juu mno kumbe badooooo leo hii anamuomba umoja wa ulaya amsaidie kwenye issue za satellite ili kuokoa yaani hakuomba msaada kwa wenzake russia, n.korea au china, dah kweli ukweli ni ukweli tu ukikataliwa leo daima ipo siku utajionyesha tu.
Unajua maana ya kuwa overrated?
Kama ni Iran wa kawaida kwanini USA na wenzake wanamzingatia sana??
Mtu anayefadhili mataifa unamuita overrated!?
Hiyo Azerbaijan province umeiona jinsi ilivyo mazingira yake?
Ni sahihi kuomba msaada.
 
Kumbe huyu bwana ndio alikua mkuu wa kitengo cha kunyonya watu nchini Iran, sasa sijui yeye alifikiri hawezi kufa..❓❓❗❗
 
Back
Top Bottom