Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

Inaudhi sana, lakini tulia Magufuli ili tuwe tunapigiwa hizi swagga, bila mapinduzi nchi hii tutachina milele
 
Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.

Amandla...
 
Maumivu makubwa ya moyo ndio sifa ya maoni mengi ya watanzania mtandaoni.

JK n mtu chakaramu, sidhani kama anakunywa pombe kama marehemu wote watatu waliokuwa marais wa TZ, starehe nyingine ndio nyumbani kwake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila bora chupa kuliko chup
 
Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.

Amandla...

Basi sema shida iko wapi? Huu ni ukweli ulio wazi na wala siyo udini, mfumo wa Kiuchumi unaondesha Dunia ya leo ni Christian au unatokana na Western Christian philosophy, na kila nchi inayotaka kuendelea ni lazima itaiga Christian way of education, work ethics etc Japan waliiga, Korea, Taiwan, Singapore na hata China wanaiga pia wanaendelea vizuri, huwezi kukuta Kiongozi mkubwa China au Japan anaongea kama huyo mzee na cha ajabu ametembea sana kila siku yuko nije lkn bado hauoni tofauti, ni kwa nini unafikiri?
 
Baba wa Taifa alipokuwepo alijitahidi kutumia hekima kuonyesha kuwa kijana hafai kutawala juu kabisa, ila waTz hatukumuelewa tu!
 
Ulitaka aseme nini? Kwa umri wake na wakati huo Michael Jackson ndie alikuwa mtu maarufu Sana ulimwenguni. Mtu yeyoye angetamani amuone!

Au ulitaka aseme siku aliyokutana na Bush? Au Obama? Au Clinton? Tony Blair?

Kila mtu ana fantasy yake. Angesema unachotaka wewe, tungesema mnafana fantasy zenu.
 
Huwa siwaelewi watu wanaosema eti Kikwete ni mtoto wa mjini. Ujanja wake ni wa kujifunza, siyo natural kwa hiyo ushamba umejificha tu nyuma.

Mleta mada uko sahihi kabisa, umekuwa kwenye uongozi wa nchi kwa zaidi ya miaka 30, jambo unalokumbuka na kujivunia ni kukutana na Michael Jackson na huyu huyu Rihanna? Na unashangaa unapokutana nao kuwa wako soft-spoken?

Kama si ushamba ni nini huo?

Na viongozi wa namna hii wamejaa Serikalini.
 
Hakuna watu wanakula raha katika hii dunia kama wanasiasa katika ngazi kuanzia wabunge. Ukipata nafasi tumia acha kelele Buda. Jipenyeze kwa namna yoyote nawe ule buda.
Life is too short.
 
Watawala wa Waafrika wamezigeuza nchi kama mali zao na wale wakwao wa karibu wanaouwazunguka.
Hakuna watu wanakula raha katika hii dunia kama wanasiasa katika ngazi kuanzia wabunge.Ukipata nafasi tumia acha kelele Buda.Jipenyeze kwa namna yoyote nawe ule buda.
Life is too short.
 
Pesa anayo sasa tashindwa nini kutembea!
 
Ila born town umri kweli umeenda 10 cents akimaanisha 50 cents daaah kweli wakati ukuta
 
Angezungumzia lango la jiji na kina Issa Matona ndio angeonekana ana uzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…