Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Kichekesho ni kwamba haoni taabu kukubali kuwa yeye ni mzee.Kumbe wewe mzee ni mjinga hivi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichekesho ni kwamba haoni taabu kukubali kuwa yeye ni mzee.Kumbe wewe mzee ni mjinga hivi!!
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....
Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!
Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!
Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"
Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!
Waafrika, nani atatuokoa ????
View attachment 2381816
Hivi mlijaribu kumroga ikashindikana? Asimuliae mvua.....Mtoto wa Mjini huyo sio wale washamba ambao waliifanya Ikulu yetu kuwa Kijiwe cha Wachawi.
Wao kutwa walikuwa wanaongelea Gambosh.
Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.Shida ni Uislamu, tatizo liko hapo, Uislamu haufundushi earning a leaving through hard work, mfumo unaojenga Dunia ni christian, shida iko hapo, hawajui kufanya kazi kwa bidii kujenga nchi, wanajua raha na kutumia, basi, hawajui kwamba nchi inajengwa kwa jasho na siyo blah blah na starehe.
Kwani kuna Viongozi wengi wametokea Pwani ambao ni Christian na wamekwenda Christian Schools wamepata mafunzo ya Christinianity wako vizuri sana tu, hivyo kutoka Pwani siyo tatizo, tatizo ni malezi na Madrasa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maumivu makubwa ya moyo ndio sifa ya maoni mengi ya watanzania mtandaoni.
JK n mtu chakaramu, sidhani kama anakunywa pombe kama marehemu wote watatu waliokuwa marais wa TZ, starehe nyingine ndio nyumbani kwake.
Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.
Amandla...
Duuh umeongea kwa uchungu mwanakwetu mpka mwenyewe nalia machozi nahisi ungekuwa mhehe ungeshajinyonga mkuu [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Baba wa Taifa alipokuwepo alijitahidi kutumia hekima kuonyesha kuwa kijana hafai kutawala juu kabisa, ila waTz hatukumuelewa tu!
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....
Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!
Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!
Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"
Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!
Waafrika, nani atatuokoa ????
View attachment 2381816
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....
Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!
Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!
Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"
Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!
Waafrika, nani atatuokoa ????
View attachment 2381816
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....
Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!
Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!
Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"
Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!
Waafrika, nani atatuokoa ????
View attachment 2381816
Hakuna watu wanakula raha katika hii dunia kama wanasiasa katika ngazi kuanzia wabunge.Ukipata nafasi tumia acha kelele Buda.Jipenyeze kwa namna yoyote nawe ule buda.
Life is too short.
Na hata kaburi lake hakuna anayefahamu lilipoMganga aliyeturoga waafrica alishafariki
Pesa anayo sasa tashindwa nini kutembea!Basi sema shida iko wapi? Huu ni ukweli ulio wazi na wala siyo udini, mfumo wa Kiuchumi unaondesha Dunia ya leo ni Christian au unatokana na Western Christian philosophy, na kila nchi inayotaka kuendelea ni lazima itaiga Christian way of education, work ethics etc Japan waliiga, Korea, Taiwan, Singapore na hata China wanaiga pia wanaendelea vizuri, huwezi kukuta Kiongozi mkubwa China au Japan anaongea kama huyo mzee na cha ajabu ametembea sana kila siku yuko nije lkn bado hauoni tofauti, ni kwa nini unafikiri?
Najua nimekugusa. Niliomba samahani nilijua kutakuwa na response kama yako. Pole!Kumbe wewe mzee ni mjinga hivi!!