Kwa nini walikuwa wanaficha taarifa za kuumwa kwake kwani kuumwa jambo la ajabu?!msimlaumuu alikua anaongea tu kufunika hali hakua na taarifa sahihi ; kina Bashiru ; msigwa ; dotto ; dr hassan na wengine ndio walikua wanajua
ndio maana mnaona in frustration aliamua hata kukata ziara aka tulia maana kauli yake ilimuaibisha
Sema kutangazwa hatujui walifariki liniMaalim alifariki tarehe 17.2.2021
Magu amefariki tarehe 17.3.2021
Karume alifariki tarehe 17.4.1972
hii tarehe 17 sio nzuri kwa watanzania.
Sasa mbona ulikuwa unatudanganya humu ndani??Balaa hili.
Unajua kuna kundi kubwa la wanufaika wa utawala wa hayati Rais Magufuli ambalo lilikuwa silent mtaani, kundi ambalo wewe pia umo ndio ambao wataomboleza sana huu msiba. Wale ambao walipitia manyanyaso ya kimaisha toka katika kundi dogo la wenye nacho. Japo mambo yamekuwa magumu ila atleast utu wako unathaminiwa na kila mtu na hata sehemu za kupata huduma unapewa kwa adabu tofauti na tawala iliopita.Sio kweli, kiasi alipoingia madarakani unyonyaji ulipungua, niulize mimi tulichofanyiwa kwenye viwanja vyetu, tumenyanyaswa na matajiri tukanyang'anywa ardhi na vigogo kisa kutoa rushwa,
Kwani mi huwa mkali??Umekuwa mpole
Kwani wao wamehusika na kifo chake?Haya Chadema furahieni sasa mliyoyaomba yamejibiwa
Labda wewe na familia yakoTumepoteza mtu wa maana sana watanzania basi tu, tutamkumbuka. RIP Magufuli
Tujali na Afya zetu wazeeR.I.P maisha hayana formula, pesa, madaraka ni mambo ya kupita tu, tuishi kwa upendo
Eeenh Heee Heee.💯 Hakuna kulegeza kamba, tunahitaji kumuona Magufuli ndani ya mama Samia
Kwahiyo unataka kutuambia tuwe na mioyo ya subira? Au?Ktk hotuba yake kule tanga alijohoa na kulazimika kuweka maiki pembeni
Leo wakati anatangaza naomba ufanye tathmini namna alivyokuwa amavuta pumzi kwa shida kidogo kisha utapata jibu.
Pigo kubwa kwenu hukoRest in peace hon John Pombe Magufuli.
Ni pigo kubwa sana kwetu Watanzania haijalishi ni mwana CCM au mpinzani. Huyu tayari alishakuwa raisi wetu.
Ninawahi mabasi ya Chato nisikose mazishi.Amemwacha nani pazuri? Akina kidoti unawazungumzia au nani?!
Ngoja ule ubabe wa matrafiki kupigwa makofi na kupigiwa simu ma OCD wao urudi maana tumeishi kwa kuheshimiana sana katika kipindi chote cha mzee.Rip😥😥😥.
Haya mlio kuwa mnafurahia maradhi yake sasa mkafungue na champagne.
Mtamkumbuka huyu Rais sana tu.
RIP Magu kapumzike kwa Amani😔😢😢
Wewe unataka watu kulazimisha watu wote wahuzunike kwa sababu gani?Pamoja na mapungufu yake lakini hatupaswi kufurahia kifo chake.Kila mtu atakufa kwa wakati wake why ufurahie kifo cha mwenzako?