TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Wale mataga walikuwa wanasema aongeze muda sijui watasemaje?
 
We ngoja mambo yachanganye watu si wanaona ni heri ila tutamkumbuka sana kwa mazuri ila kwa kweli hichi kifo cha huyu mtu kimenitoa katika amani ya moyo sana, hakuna binadamu mkamilifu
Kwa hawa waliibaki pale CCM sioni wa kumlinganisha nae kwa kuchapa kazi, msimamo, kuthubutu n.k

Hawa waliobaki walaini sana
 

Haya yote ni irrelevant. Did you know that a great deal of the most transformative leaders/people never make it to the target finish line? Wote wanaondoka kwa sababu mnazozioredhesha?
 
Daah haichekeshi lakini nimecheka kila nikivuta taswira ya sura ya mzee mamvi [emoji1787][emoji1787]

Komba
Kombani
Sita
And now here we go again....

Mzee Lowasa bado inadunda

God is great
 
Komba
Kombani
Sita
And now here we go again....

Mzee Lowasa bado inadunda

God is great
Pia tusipuuze miti shamba aisee, Mimi Nina Uhakika mtu kama Ole sendeka na ule mwili na E. Lowassa madawa ya asili ya Masai imewasaidia mno.
 
Naanza kuuona ukungu uliotanda ukiondoka.

Safi sana!
 
Pia tusipuuze miti shamba aisee, Mimi Nina Uhakika mtu kama Ole sendeka na ule mwili na E. Lowassa madawa ya asili ya Masai imewasaidia mno.
Kwakweli... lakini bado Mungu ndio kila kitu.
 
Natoa salam za rambirambi kwa familia ya JPM kwa kuondokewa na baba katika familia, a breadwinner 😥
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani amina.

Pole sana mama Janeth na watoto.

Poleni sana watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…