Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK mtu wa maneno maneno atatuharibia nchi tena; labda kama Mkapa angekuwa hai angekuwa ni nguzo nzuri lakini siyo huyu JK! Watu wanamkumbuka JK kwa meneno maneno ya kujisikia vizuri, hela kutoka njia za mkatomkato na mishen town lakini siyo kwa mambo thabiti ya kitaifa.
Kwa hawa waliibaki pale CCM sioni wa kumlinganisha nae kwa kuchapa kazi, msimamo, kuthubutu n.kWe ngoja mambo yachanganye watu si wanaona ni heri ila tutamkumbuka sana kwa mazuri ila kwa kweli hichi kifo cha huyu mtu kimenitoa katika amani ya moyo sana, hakuna binadamu mkamilifu
Hukumuelewa, au umeamua tu kupindisha kwa maksudi yako mwenyewe.
Hakuna popote katika andiko lake alipoandika kuwa sababu ya kifo chake ni hayo aliyoyaorodhesha.
Mimi nitaongeza kwenye orodha yake ambayo hakuyaweka.
- Kiburi
-ujuaji mwingi
- ubishi
Hizi siyo sifa nzuri kwa kumbukumbu ya kiongozi.
Ndiyo, yapo mazuri, na tunaweza pia kuyaorodhesha
MkapaKwani kabla Yake Nani alikuwa anatukanwa
Daah haichekeshi lakini nimecheka kila nikivuta taswira ya sura ya mzee mamvi [emoji1787][emoji1787]
Pia tusipuuze miti shamba aisee, Mimi Nina Uhakika mtu kama Ole sendeka na ule mwili na E. Lowassa madawa ya asili ya Masai imewasaidia mno.Komba
Kombani
Sita
And now here we go again....
Mzee Lowasa bado inadunda
God is great
Hivi kama wewe ulikuwa na chuki zako na Marehemu..unataka wote tumchukie?acha upuuzi ebu..Wanafiki wachache na wachumia tumbo lazima mumkumbuke mungu wenu.
Naanza kuuona ukungu uliotanda ukiondoka.JK mtu wa maneno maneno atatuharibia nchi tena; labda kama Mkapa angekuwa hai angekuwa ni nguzo nzuri lakini siyo huyu JK! Watu wanamkumbuka JK kwa meneno maneno ya kujisikia vizuri, hela kutoka njia za mkatomkato na mishen town lakini siyo kwa mambo thabiti ya kitaifa.
Wewe ndio mpuuzi,mlikuwa mnamsifia muuaji,mkabila,mdini,mkanda na mbinafsi.Hivi kama wewe ulikuwa na chuki zako na Marehemu..unataka wote tumchukie?acha upuuzi ebu..
Kwakweli... lakini bado Mungu ndio kila kitu.Pia tusipuuze miti shamba aisee, Mimi Nina Uhakika mtu kama Ole sendeka na ule mwili na E. Lowassa madawa ya asili ya Masai imewasaidia mno.
Mungu amuweke mahali panapo mstahili.Dunia tunapita, nimeamini sasa
Sisi wenye roho safi tumeamua kwenda na mama yetu.EeenHee!
Huenda wengi wao wakabadili hata majina humu!...
Katiba ni uhai wa watuNafunga mkono hoja