Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
JK aliweza sn mpka misiba ya wapinzani alikuwa anaendaSiasa sio vita wa uadui. Nataman ccm wangelijua ili
Huyo ndie anajitambua na hataki unafiki,hata Mimi nakualika muda huu.Jirani yangu kanialika kunywa bia na nyama leo jioni
Mkuu sogea hapa tupige mondeHata mimi ntakaribia kwenye hizo bia. Watu wanafiki sana wanajifanya kusikitika kumbe hamna kitu. Mzee alikuwa katili sana
Nadhani ni msukumo wa uzalendo tu... why siku 21 badala ya 14 zilizoamriwa na the de facto Amiri Jeshi Mkuu? Something wrong?
Wanafiki kama nyie lazima muwepoDuuuuh, unapata wapi nguvu ya kulewa mda huu, watu wapo bize na mambo ya nchi.
Nikahisi labda kuna mmoja atakuwa amekosea kati ya hizo 14 na 21! Katiba ya nchi inaemaje kwani?Nadhani ni msukumo wa uzalendo tu
Awamu ya 5 ilikuwa inaenda kubadilisha kila kitu, hasa kwenye umoja na ushirikiano.JK aliweza sn mpka misiba ya wapinzani alikuwa anaenda
It is a brave action. RIP JPM. Pole to relatives, government, and to the entire CCM family.
Katiba inasema siku 21... nikahisi labda kuna mmoja atakuwa amekosea kati ya hizo 14 na 21! Katiba ya nchi inaemaje kwani?
Mbio za mwenge zenyewe vipi mkuu?Kosa la kwanza lilikuwa kuhama ikulu ya Dar na kwenda Dodoma, Kumbuka yaliyomkuta mwendazake kule Lindi kipindi tu ndio kasema kahamia Dodoma
Kosa la pili ni kuapishwa Dodoma badala ya DSM.. Kuna mafungamano makuuu ikulu ya DSM na uwanja wa Uhuru na urais kwa kiongozi aliye madarakani.
Mkuu upo pande zipi?hapa bia mpaka atakapoingia kaburiniNimejipa off ya siku 3 kudadeki
Chuki ilizidi balaaAwamu ya 5 ilikuwa inaenda kubadilisha kila kitu, hasa kwenye umoja na ushirikiano.
Jiwe alikuwa evil 95%Kuna watu wenge kwa hakika wanamzungumzia katka mabaya tu kana kwamba wao wako safi kwa kila kitu, kabla haujamhukumu mtu katika ubaya jitazane kwanza wewe je kila mmoja anakupenda katika jamii inayokuzunguka na kama sio basi ujue una madhaifu yako, ni kiongozi gani ambaye alichagawa chakula nchi nzima au kutoa pesa kwa kila mtanzania mbona wote waliopita hali ni ile ile tu, Tatizo tunajenga palipo bomoka hivo tunabaki kubebeshana lawama
Huko kwenye mbio za mwenge nako kuna maagano yasiyokifani.. Ile kuzisitisha mwaka jana lilikuwa kosa la kiufundiMbio za mwenge zenyewe vipi mkuu?
Aiseee naona kama kuna ukweli hivi mkuu.Huko kwenye mbio za mwenge nako kuna maagano yasiyokifani.. Ile kuzisitisha mwaka jana lilikuwa kosa la kiufundi