TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kosa la kwanza lilikuwa kuhama ikulu ya Dar na kwenda Dodoma, Kumbuka yaliyomkuta mwendazake kule Lindi kipindi tu ndio kasema kahamia Dodoma
Kosa la pili ni kuapishwa Dodoma badala ya DSM.. Kuna mafungamano makuuu ikulu ya DSM na uwanja wa Uhuru na urais kwa kiongozi aliye madarakani.
 
Mbio za mwenge zenyewe vipi mkuu?
 
Kuna watu wenge kwa hakika wanamzungumzia katka mabaya tu kana kwamba wao wako safi kwa kila kitu, kabla haujamhukumu mtu katika ubaya jitazane kwanza wewe je kila mmoja anakupenda katika jamii inayokuzunguka na kama sio basi ujue una madhaifu yako, ni kiongozi gani ambaye alichagawa chakula nchi nzima au kutoa pesa kwa kila mtanzania mbona wote waliopita hali ni ile ile tu, Tatizo tunajenga palipo bomoka hivo tunabaki kubebeshana lawama
Jiwe alikuwa evil 95%
 
Kupiga kazi sana bila mapumziko ya kutosha na matusi ya wapinzani maskini yamemuondoa.
Inna Lillaah wa inna Ilayhi raajiuun
انا للاه وان اليه راجعون
 
Tumerudi kwenye zero, wakuu watakalia kujaza Mifuko Yao. Wakisha mzika tu angalia safari zao zat nje next week. Wamemuua kipenzi cha watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom