TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Apumzike kwa Amani Jemadari wetu. Hakika kila nafs itaonja mauti. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
1616034165395.jpeg
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Hili ni tatizo alilokuwanalo mheshimiwa. Walimwekea Pacemaker kwa miaka zaidi ya kumi. Sisi wote kama binadamu wengine tunamatatizo ya kiafya na bahati mbaya mheshimiwa mpedwa wetu alikuwa na tatizo kubwa sana. Wanasema 76% wa watu wanaopata Corona wanaacha alama kwenye moyo kama watu waliopata mpasuko wa damu hivyo ina haribu kwa kiasi fulani mishipa. Kama tayari una matatizo ya moyo kama mheshimiwa mapigo ya moyo yanaenda juu sana kiasi cha kupata mpasuko wa damu. Hivyo hata kama umepata na kupona haina maana kila kitu kipo poa. Nahimiza tu chanjo bado ni muhimu

Patients with atrial fibrillation are at far greater risk of a catastrophic COVID outcomes.
For COVID patients, AFib makes a very bad situation much worse. But it is usually far too late — once patients are on a ventilator, in the ICU, fighting for their lives — to deal with an unchecked arrhythmia, which often isn’t treatable until the underlying issue of COVID is under control.


Atrial fibrillation is an irregular and often rapid heart rate that occurs when the two upper chambers of your heart experience chaotic electrical signals. The result is a fast and irregular heart rhythm. The heart rate in atrial fibrillation may range from 100 to 175 beats a minute

A pacemaker is a small device used to treat some arrhythmias. During an arrhythmia, the heart can beat too fast, too slow, or with an irregular rhythm.
 
Inasikitisha na inaumiza sana, rest in peace Mr president. Mwendo umeumaliza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom