Amiin Insha Allah kaka. Ahsante kwa kutukumbusha.
Darsa linalohusu nini kaka?Nipo tayari kutoa darsa kwa mwenye uhitaji
Ooh. Sawa kaka. Ila ingependeza likilalia kwenye Mwezi Mtukufu ili wengi wapate kuutimiza vile ipaswavyo.Mwezi wa Ramadhan na Uislam kwa ujumla
Darsa la kukumbusha kuhusu yanayotakikana kwenye mwezi wa Ramadan kwa ujumlaDarsa linalohusu nini kaka?
Mwezi wa Ramadhani au Uislam kwa ujumla?
Wa aleykum Salaam warahmatullah taala Wabarakatu.Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu,
Last ramadhani tuliwaomba Moderator waiweke hii thd as a "Sticky thd" i hope this time pia watatusaidia hilo,
THANKS.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Darsa la kukumbusha kuhusu yanayotakikana kwenye mwezi wa Ramadan kwa ujumla
Uislam umefungamana na nguzo zake, kuanzia Shahada, sala, kutoa zakkah, kufunga mwezi wa Ramadhan na hata kwenda kuhiji MakkahOoh. Sawa kaka. Ila ingependeza likilalia kwenye Mwezi Mtukufu ili wengi wapate kuutimiza vile ipaswavyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Amiin Insha Allah kaka. Ahsante kwa kutukumbusha.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hapana mkuu,nadhani waliitoa baada ya ramadhani kwisha,in sha Allah this ramadhan wairejesha pia.Waliiweka sticky mwaka jana, nimeshangaa kwa nini wametoa
Lands kwa sababu wao ni wakristo
ujumbe murua kabisa huu.