DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hapa umedangangaJesuit ni jina tu lakini walikuwepo hata kabla ya Yesu. Wakati Yesu anahubiri Yudea ilikiwa chini ya utawala wa Rumi.
Nchini Ureno kitongoji kinacho itwa Fatima kilipewa jina hilo specifically kwa heshima ya Fatima Bint Muhammad
Hapa ndipo mnapokosea kujiona mpo sahihi kuliko watu wote.Kufuata Mambo ya Dini ni Utoto. Wacha utoto mkuu.
Nilikuwaga muislamu kuliko wewe.
Kilua ni ua/Mti, kuna mti unaitwa mkilua ambao upo Tanzania/Kenya.Kilua ni jina la ki Swahili? Au umemaanisha kulwa?
Tarehe na Siku Ni illusion Tu na Kwa Kujibu swali lako Mungu hafungwi na Tarehe ila Tarehe zinatuongoza Sisi kujua Majira na Nyakati kwa Kuzihesabu..Hivi Mungu na yeye anafungwa na mambo ya tarehe?
π π Hayo maisha yako ndiyo dini yako.Siabudu mizimu. Natumia akili aliyo nipa Mungu kuishi..
YESU ndio alivaa kanzu, ila uisilamu wa Yesu ni mafundisho yake. Tusiharibu Mada ya watu fungua Uzi mpya ama nenda youtube Search Yesu ama Wakristo wa Zamani waliswali vipi, "How early Christians prayed" tumia hio keyword utaona video kibao zikionesha wanaswali kama waisilamu.Ni kweli hizi ni hoja mfu kama zile hoja zenu za baadhi ya mashehe wasiojitambua kuwa eti Yesu alivaa kanzu hivyo alikiwa muislam au Yesu alizikwa kwa Sanda hivyo ni muislam. πππππ
Hili ni swali Gumu sana kulijibu ila Ni jepesi sana..Kimsingi bro umenena vyema kuhusu kuangukia wakati mmoja hii hata kwangu sio big deal.
Binafsi natambua na kuthamini uwezo wako bro juu ya issue za kidini. Kuna hoja umeiruka hapo ambayo natamani ungeweka neno mkuu.
Uislam kuanzishwa na Wakatoliki. Hii imekaaje? Sema Neno mkuu kwa uzoefu wako.
Mkuu kama ulikuwa muislam kuliko yeye, inakuwaje hujui kuwa Ramadhani inabadilika kila mwaka?Kufuata Mambo ya Dini ni Utoto. Wacha utoto mkuu.
Nilikuwaga muislamu kuliko wewe.
Kuzaliwa kwenye uislam na kutoka kwenye uislam siyo hoja ya kuujua uislam unaweza ukatoka huko ila hata jinsi ya kuswali haujui .Ninaujua Uislamu kuliko wewe. Nimetoka tu sio kwenye familia na ukoo wa kiislamu bali hadi kabila langu ni wote waislamu.
Anyways kwanini unafunga Ramadhani?
Hahahhaha π€£Fafanua hapo l,''wakatoliki wanaabudu sanamu na waislam wanaabu jiwe jeusi"
ili iwe thesis, ant thesis, synthesisUkweli gani wewe!!.. wakristu na wayahudi ndiyo walikua wakifanya mijadala kumpinga mtume akihubiri,kwa hiyo mapadre wakaandika Quran inayosema 'wamekufuru wanaosema hakika ni Mungu masihi mwana wa maryam?..hawakumuua wala kumsulubu..sasa waanzishe uislam dini contrary to christianity Ili iweje?..
Kuhusu Kubusu Jiwe Au Sanamu..Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.
Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican).
Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa kikatoliki na shushushu wa Vatican ambae alipewa task na Vatican ya kusaidia kupatikana kwa kijana makini, smart, mwenye maadili mema wa kiarabu ili wamtumie kueneza Uislamu ambapo Bi Khadija alizipata sifa hizo kwa prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)
Alberto Rivera aliprove hoja yake kwa kutumia mifano mingi sana kama vile ufanano wa baadhi ya mambo kwenye ukatoliki na Uislamu kama vile : Architectures, idol worshiping etc.
( Hapo kwenye idol worshiping: Wakatoliki wanasujudia sanamu la Bikira Maria na kutumia vitu kama rosary waislamu wanabusu jiwe la kwenye Kaaba na kutumia vitu kama Tasbihi.
....
Kwanini Ramadhani na Kwaresma zinagongana miaka yote?.
Isije kuwa tunafuata kalenda ya miungu ya Rumi bila kujua kama tunafanya hivyo?
Haya bana
# Fateema is the name of the most favourite daughter of Prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)
In Catholic Fateema is a holy name attributed to a holy place in Portugal which is known as Fateema. ( Fatima) The place was named after Fateema, the favourite daughter of Prophet Muhammad Peace Be Upon Him.
Bikira Maria mama wa Yesu aliwatokea Lucia, Francis na Yasinta ( watoto wa Fatima Katika eneo liitwalo Fatima huko Portugal)
# Our Lady of Fatima Catholic Choir.
# In the Catholic Church, Maryam the mother of Jesus is venerated. In the Holy Quoran there is a complete chapter attributed to Maryam the mother of Jesus ( Suratul Maryam) . Mama wa Prophet Muhammad aliitwa Amina lakini hajapewa sura kwenye Qur'aan ila mama wa Yesu kapewa.
# Waislamu wanavaa Kanzu wakatoliki wanavaa Kanzu ( mapadri)
# wanawake wa kiislamu wanavaa baibui wanawake wa katoliki wanavaa baibui (masista)
# Mbona kama tunachezewa akili?
wana hasara gani wale kuweka aya hiyo?Wakaweka na Aya Za kuwakata vichwa vyao sio?Kama Ni hivyo ndio maana Wakristo wote duniani hawatumii Akili.
Katika Comments Zote Hii Coments Nimeipenda Kuliko Zote ππππili iwe tiesis, ant thesis, synthesis
Umeshawekewa kirusiAfrica walikuwa na tamaduni gani ? Kabila langu nimesoma wanaamini maisha baada ya kifo niambie lako ?
Ili wawafitinishe mayahudi na waitawale Jerusalem.Ukweli gani wewe!!.. wakristu na wayahudi ndiyo walikua wakifanya mijadala kumpinga mtume akihubiri,kwa hiyo mapadre wakaandika Quran inayosema 'wamekufuru wanaosema hakika ni Mungu masihi mwana wa maryam?..hawakumuua wala kumsulubu..sasa waanzishe uislam dini contrary to christianity Ili iweje?..
Halafu 1010 papa anatangaza vita vya msalaba dhidi ya waislam huko mashariki ya Kati (jerusalem ikiwemo),baada ya waislam kuitawala jerusalem kwa karne kadhaa, hakuna mantiki,baada ya kushindwa kupambana kihoja na uislam (Quran),mmeamua kuzuazua mamboIli wawafitinishe mayahudi na waitawale Jerusalem.
Hadijah na Waraqah walikuwa wakatoliki.
Halafu iweje?ili iwe thesis, ant thesis, synthesis
Hakuna ibada ya kubusu jiwe kwenye uislamKuhusu Kubusu Jiwe Au Sanamu..
Hili jambo Wote hawalikwepi Waislamu, Wakristo au Wayahdi wote wana Ibada Zinazoelkea au Zinazofanan na Hizo