Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Roho mbaya tu wewe, Kama ulimpa bure kiroho Safi basi msamehe au alipie nusu.
Hapana jamaaa hua ana endesha rough na nlimwambia endesha vizuri nakufahamu uendeshaji wako akasema ame endesha gari zaidi ya miaka 10 mbaya zaidi aliniudhi alitelekeza gari baada ya ajari
 
Mbona umeandika kiudaku? Hio list yote ni taa na bumper? Unafikiri list hio hio ukiweka vitu vya Toyota Land cruiser utatumia 3.5m? Huo mkeka ukienda na LC200 pale Karimjee bei inazidi hio 32m
 
Safi hamna huruma huruma
[emoji1787][emoji1787]ukakwepa lawama
Mkuu jamaa hana income yeyote hilo dude mafuta tu shughuli acha service.tulikua na brevis kali tu ambayo tungetumia.nikajikuta naingia ATM kila baada ya masaa ma3
 
Ukiongeza chenchi kidogo tu unavuta IST 3 toka Japan.
 
kwangu nahsi km umefika hatua ya kuvusha gari for maintenance uwezo unao na cost y maintainance depends na wapi gari umelipeleka japo kw io demage na cost nikirudi ktk uhalisia iko hyped sanaaa labda km walinunua na engine mpya kdgo naweza kuelewa
 
Kuna uzi flan nmeona jamaa anahamasisha vijana wanaoanza maisha wanunue range Rover badala ya HARRIER kwasababu Bei za manunuzi Ni sawa.

Nikasema hi hi hiiii...baghosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa hiyo hela ya matengezo naweza pata ist 3 zilizonyooka nasajili uber kwa siku hesabu ni 30,000 kwa tatu kwa siku 90,000 zidisha kwa wiki mara 6 = 540,000 kwa mwezi unapata 2,160,000/= kwa mwaka una 25,920,000/=.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…