Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

askari polisi sare zao ni barret nyeusi na nyekundu. hivyo barua imeandikwa "kitaalam" hasa!


JESUS IS LORD
 
Ni Mdude hana lengo zuri au hao wanaouza ncbi ndo hawana lengo zuri?

Hujawaza vizuri. Unaishi kwa hofu kwa sababu ya udikteta mnaowafanyia Watanzania
 
Hii ni Tanzania sheria za nchi hii ni tofauti na utekelezaji wake we jichanganye tu na maandishi,

Naona Tarehe 8 December tutatangaziwa week ya mazoez ya askari police na wanajeshi kufanya mazoez mitaani.

Sa jichanganye kuleta bugza katika mazoez ya watu ndy utaijua Tanzania ipoje na askari wake wanatendaje kazi zao.
 
That is what we are fighting! Siku tukiamua kutoogopa kufa, askari watakimbia wenyewe....
 
Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.View attachment 2776951
Kama inawezekana yakapelekwa mpaka tar 9 December 2023 itapendeza zaidi na yakiwa na kibali itakuwa na nguvu zaidi .
 
Mkuu
Nimesoma nikaishia kupandisha hasira.

Ukweli uliowekwa humo unaumiza macho na nafsi.

Hatupo huru yes.
Serikalj ya Tanzania ni adui wa Haki za Binadamu na sheria za Kimataifa zinazohusu Haki za Binadamu.

Tunapitisha mikataba ya kimataifa ili tusinyimwe mikopo.

We are not free
We are not serious
 
That is what we are fighting! Siku tukiamua kutoogopa kufa, askari watakimbia wenyewe....
Hahah sio kwa watanzania hawa..
Labda ikifikia unga wa ugali kuuzwa elfu 6, sukari kilo iwe 7000 na bando lipande gb moja elf 15 ndy wanaweza kuandamana ila hili la kuhusu bandari walah watu hawana muda hahah..
 
Sioni kama ni maandamano ya maana! Kwa mikutano mliyofanya kuzunguka nchi kuwaeleza wananchi juu ya mkataba huo,wananchi walishasikia na walishaelewa!
 
Sioni kama ni maandamano ya maana! Kwa mikutano mliyofanya kuzunguka nchi kuwaeleza wananchi juu ya mkataba huo,wananchi walishasikia na walishaelewa!
Persistent pressure
 
Hasira utaipata mtandaoni baada ya kusoma ila ukiwaona makamanda barabarani wako tayari kutuliza ghasia hasira zitapotea,
Kitu kizuri Tanzania wasomi wanaongezeka siku hadi siku.

Inafaa tupambane democracy ipate nguvu sana kwenye nchi yetu na tuwe na mifumo ya kuhoji na kujibiwa kama ikishindikana wananchi wapate nguvu ya kimaamuzi ya kuamua kiongozi fulani atoke madarakani kwa kupitia maamuzi ya pamoja kwa kura za maoni.

Kura ndiyo silaha inayopaswa kupewa nguvu katika siasa na administration yetu ndani ya nchi.

Kuandamana si kitu ikiwa sauti ya mtanzania haina nguvu kwa serikali, na kama kura ya mwananchi itakuwa na nguvu wakati wa uchaguzi mkuu tu nguvu ya mwananchi itakuwa ni ndogo sana kwenye taifa letu.

Ni vyema tuitengeneze democracy yetu ambayo ni majority power kweli, na sio uongo kama huu tulio nao nowdays.

Uteuzi unafanywa na Rais bila consultation kwa wananchi yaani raisi yupo na Royal mandate, akishika dollar inakuwa yeye ndiyo top wa kila kitu.

Bunge halina mfumo mzuri wa kimaamuzi katika maamuzi ya nchi kama hivi, ikiwa shauri linawasilishwa bungeni wananchi kwa kupitia wawakilishi wao bungeni inafaa tutoe maoni yetu na tupige kura zetu ili maamuzi yafanyike kutoka kwenye nguvu ya kimaamuzi ya kitaifa na wala isiwe ni pendekezo la wachache tu wenye uwezo wa kutoa maamuzi kwa taifa zima.
 
ACHA KAULI HIZO..... mods angalia maandisi haya
Tatizo watu wanataka kupeana moyo mitandaoni kwamba ndy tutaandamana ila ukweli ni kwamba kuandamana sio kazi ya mchezo inahitaji moyo wa ujasiri kweli.

Kwa nature ya wananchi wa Tanzania kiuhalisia ni waongeaji sana ila vitendo ni empty,

Kwani jambo la Serengeti watu kuhamishwa kupelekwa Tanga si watu walipiga kelele na limeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…