Kila mtanzania mwenye utashi na akili timamu anayo HAKI kuamua ashiriki ama asishiriki maandamano ya November 2023.
Zifuatazo ni sababu zitakazonifanya nishiriki maandamano hayo.
1. Kusainiwa Kwa HJA kati ya sirikali na DP World siku ya IBADA jumapili.
2. Mgao wa umeme.
3. Kurudishwa wa watesi wa DEMOKRASIA na HAKI madarakani.
4. Kuhukumiwa kifungo Kwa Mchungaji Mbarikiwa.
5. Mfumuko wa Bei nchini.
6.Kutochukuliwa hatua wabadhilifu waliotajwa katika report ya CAG.
7. Nia isiyo njema ya sirikali kudhamiria kuingia uchaguzi bila Tume huru ya u haguzi.
8,9...........utajazia mwenyewe.
Pia watakaoamua kutokuandamana, Kwa Sababu mbalimbali pia waheshimiwe.
Swali ni je, utashiriki maandamano ya Novembre?
Mdude atakuwepo, Slaa atakuwepo, Lissu atakuwepo, Mwabukusi atakuwepo, Rabbon atakuwepo nk nk nk nk.
Karibuni🙏